Mkumbuke Mke wa Lutu.. Luka 17:28 “Na kadhalika, kama ilivyokuwa katika siku za Lutu, walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakinunua na kuuza, wakipanda na kujenga; 29 lakini siku ile Lutu…
Neno la Mungu limefananishwa na MBEGU (Luka 8:11), na siku zote mbegu ina uhai na inapopandwa ndani ya mtu, ule uhai wake unajidhihirisha ndani ya mtu huyo kulingana na umeaji…
Biblia inasema maisha yetu yamefananishwa na chombo chochote kinachoendeshwa chenye usukani, mfano wa vyombo hivi vinaweza vikawa ni: Gari, au Meli, au ndege, n.k. vyote hivi pamoja na kwamba vina…
KAMA UMEGUSWA KUCHANGIA KAZI HII YA INJILI ILI IZIDI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI, BWANA AKUBARIKI SANA KWA MOYO HUO. HIVYO KAMA UMEGUSWA UNAWEZA UKATUMA MCHANGO WAKO KWA KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO.…
Makanisa yanayohubiri injili ya mafanikio tu. Na kukwambia kuwa uthibitisho wa Mungu kuwa yupo na wewe, ni kuwa tajiri ...JIHADHARI NA HILO KANISA! Makanisa yasiyohubiri toba ya msamaha na kuwafanya…
NYAKATI SABA ZA KANISA. Tangu kipindi cha Bwana Wetu Yesu Kristo kuondoka duniani mpaka sasa imepita miaka takribani elfu mbili na katika hichi kipindi cha miaka hii elfu mbili kanisa…
Papa kiongozi wa kanisa katoliki duniani alipokuwa akihutubia mbele ya maelfu ya watu juni 25, 2014 St. Peter's Square vatican akisema: katika ukristo hakuna hilo suala kama kumtafuta Kristo…
Bwana wetu Yesu Kristo alipokuwa hapa duniani, huduma yake iligawanyika katika sehemu kuu tatu. Ya kwanza: huduma ya uponyaji, ishara na miujiza Ya pili: kueleza siri za mioyo ya watu,…
Moja ya maagizo muhimu sana ambayo Bwana YESU KRISTO aliyatoa kwa kanisa ni ubatizo. Mengine yakiwemo kushiriki,kutawadhana miguu kwa wakristo,wanawake kufunika vichwa vyao wakati wa ibada.Kati ya hayo ubatizo ni…