DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MPAKA UTIMILIFU WA MATAIFA UTAKAPOWASILI.

Hii neema tuliyonayo watu wa mataifa, haikuanzia kwetu, bali ilitoka kwa wengine lakini kwa huruma za Mungu walipokonywa wao tukapewa sisi. Israeli kama Taifa teule la Mungu walikuwa wameshafikia kilele…

TABIA YAKO NI YA MNYAMA GANI?

Kila mnyama tunayemwona, kwa namna moja au nyingine yupo mwanadamu au jamii au taifa linalobeba tabia zinazofanana na huyo mnyama, Kwamfano Bwana Yesu kumwita Herode “Mbweha” hakuwa anamtukana, bali alikuwa anaelezea jinsi…

NI MAONO YAPI HAYO UNAYOSUBIRIA?

Tunaposoma biblia tunajifunza mambo mengi sana, yahusuyo tabia za Mungu, na moja ya tabia ya kipekee sana ya Mungu ni “kutokumlazimisha mtu kufanya jambo Fulani”. Kuna kipindi nilitamani na nilimuomba sana…

ZIKUMBUKE FADHILI ZA MUNGU

Ni rahisi KUANGUKA au KUPOA katika Imani kama hautajiwekea utaratibu wa Kujikumbusha matendo yote mema Mungu aliyokutendea nyuma katika maisha yako. Jambo lililowafanya Wana wa Israeli kule jangwani washindwe kusonga mbele na kukwazwa na…

WALIPO WAWILI AU WATATU KWA JINA LANGU

Naomba usome ushuhuda huu mfupi utakujenga, "Mimi na ndugu yangu tumekuwa na desturi ya muda mrefu kukaa pamoja na kushirikishana NENO LA MUNGU mara nyingi ili kuepuka usumbufu wa watu…

USIMFANYIE JEURI ROHO WA NEEMA.

Kuna hatari kubwa sana kuidharau Neema ya Bwana YESU KRISTO, Katika agano la kale, kule jangwani Mungu alipokuwa anazungumza na wana wa Israeli katika mlima SINAI, Utukufu wa Mungu ulikuwa ni mkubwa…

YATAFUTE YALIYO JUU SIKU ZOTE.

Wakolosai 3:1 “Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, YATAFUTENI YALIYO JUU KRISTO ALIKO, ameketi mkono wa kuume wa Mungu. 2 YAFIKIRINI YALIYO JUU, SIYO YALIYO KATIKA NCHI.” Kama wasafiri hapa duniani, kila siku…

JE! WEWE NI MBEGU HALISI YA KRISTO?

Huu ni wakati wa kuwa makini sana juu ya hatma ya maisha yetu ya rohoni, kwasababu tusipokuwa makini katika nyakati hizi na kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda tunaweza tukajikuta tunaangukia…

MOTO HUFA KWA KUKOSA KUNI.HATA UASHERATI NAO

"Moto hufa kwa kukosa kuni’’, na ndivyo ilivyo kwa uasherati Mungu kamuumba kila mwanadamu na maamuzi yake binafsi yasiyoweza kuingiliwa na kitu kingine chochote, Mungu kayaheshimu maamuzi hayo kiasi kwamba…

HEKIMA NI NINI? NA UFAHAMU UNAPATIKANA WAPI?

Kitabu cha Ayubu sura ya 28, kinaeleza jinsi HEKIMA ilivyojificha mbali sana kiasi kwamba mwanadamu pamoja na ujuzi wake mwingi na maarifa yake mengi hajaipata, licha ya kwamba amefanikiwa kuchimba mahandaki makubwa ili…