Rahabu ni nani? Jina "Rahabu" limeonekana mara kadhaa katika biblia likiwa na maana Zaidi ya moja. Maana ya kwanza ni linamwakilisha Mwanamke wa kikanaani aliyekuwa kahaba, aliyewahifadhi wapelelezi wa kiisraeli…
Machukizo au Chukizo ni nini? kama tunavyosoma katika biblia? Machukizo linatokana na neno “chukizo” na chukizo ni kitu kinachosababisha chuki/hasira. Kwa Mungu kitu chochote kinachoipandisha ghadhabu yake kinaitwa “chukizo”. Na…
Swali: Huyu Kemoshi alikuwa nani, na nini tunajifunza kutoka kwake? Jibu: Turejee, Yeremia 48:46 “Ole wako! Ee Moabu, Watu wa Kemoshi wamepotea; Maana wana wako wamechukuliwa mateka, Na binti zako…
Antiokia ipo nchi gani kwa sasa? Na nini tunaweza kujifunza kupitia mji huo? Jibu: Antiokia ni mji uliopo kusini mwa Taifa la UTURUKI na Kaskazini mwa Taifa la SIRIA. Mji…
Masomo maalumu yahusuyo (Wanawake na mabinti). Alamothi ni nini? Na nini ufunuo wake? (1Nyakati 15:20) Jibu: Tusome, 1Nyakati 15:19 “Hivyo hao waimbaji, Hemani, Asafu, na Ethani, wakaagizwa kupiga matoazi yao…
AGANO LA KALE Vitabu vya Agano la Kale vimegawanyika katika makundi makuu manne (4) 1. VITABU VYA SHERIA. (Tazama jedwali chini). 2. VITABU VYA HISTORIA…
Swali: Je biblia inajichanganya katika Zaburi 8:4-5 na Waebrania 2:6-7. Maana sehemu moja inataja ‘Mungu’, na sehemu nyingine ‘Malaika’. Jibu: Turejee. Zaburi 8:4 “Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na…
Mbaruti ni nini?.(Mibaruti ni mimea ya aina gani) na umebeba ujumbe gani kiroho?. Jibu: Turejee, Mathayo 7:16 “Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika…
Mungu amejifunua katika Ofisi kuu 3, (Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Lakini katika dhihirisho zote hizi tatu (3) Mungu anabaki kuwa mmoja na si watatu. Sasa swali ni je kama…
(Masomo maalumu yahusuyo matoleo na sadaka). Karibu tujifunze bible, Neno la Mungu wetu lililo mwanga wa Njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu (Zab. 119:105). Kuna umuhimu mkubwa sana wa…