Swali: Katika Kutoka 3:2 tunasoma kuwa Mungu alisema na Nabii Musa kupitia kile kijiti ambacho kilikuwa kinawaka moto lakini hakikuteketea, je kulikuwa kuna sababu gani au ufunuo gani katika ishara…
Mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni nani? Kitabu cha Waebrania ni moja ya nyaraka ambazo waandishi wake hawajajitambulisha aidha ndani au mwanzoni au mwishoni mwa nyaraka hizo. Lakini kwa kutathimini…
Mafundisho maalumu kwa wanandoa - Wanawake. Ikiwa utapenda kupata mafundisho mengine ya namna hii, basi fungua link hii uweze kuyasoma. >>. https://wingulamashahidi.org/category/mafundisho-ya-wanandoa/ Habari ya Samsoni na Delila inafundisho kubwa nyuma…
Je hayo mavazi uvaayo ni kwa lengo gani?.. ili uonekane na nani?.. 1 Petro 3:3 “Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi”.…
SWALI: Huyu “Yeye ashindaye” anayezungumziwa katika kila mwisho wa jumbe za makanisa saba. Ni mtu mmoja maalumu au wengi? JIBU: Tunasoma Bwana Yesu alipotoa agizo au onyo kwa yale kanisa …
Jina la Mkuu wa Uzima (YESU KRISTO, Mwamba wa Milele), libarikiwe. Lipo jiwe Yakobo aliloliweka chini ya kichwa chake kabla ya kulala na baada ya kuamka alilisimamisha likanyanyuka. Jiwe hili…
Zipo aina tatu za Utakatifu, na leo tutaangalia moja baada ya nyingine, na tutajua ni upi unaotufaa sisi. Aina hizi za utakatifu ni kama ifuatavyo. 1.UTAKATIFU WA MWILINI 2. UTAKATIFU…
Danieli 2:2Ndipo mfalme akatoa amri kuwaita waganga, na wachawi, na wasihiri, na Wakaldayo, wapate kumweleza mfalme ndoto zake. Basi wakaingia, wakasimama mbele ya mfalme. Wasihiri ni kundi la wachawi, lililojikita…
Huu ni mwongozo maalumu ya njia bora ya kuiomba sala ya Bwana. Wengi wetu tunaiomba aidha kwa kukariri au kwa kukosa ufahamu wa jinsi ipasavyo kuombwa, kulingana na majira ya…
Swali: Simo ni nini, au ni nani kama tunavyosoma katika Ayubu 17:6. Jibu: Tusome mistari hiyo mpaka ule wa saba (7). Ayubu 17:6 “Amenifanya niwe simo kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa…