Masomo maalumu kwa wazazi/walezi. Je unazijua kanuni za kuwabariki watoto wako?.. Wengi tunaijua kanuni moja tu ya kuwatamkia Baraka!..Hiyo ni sahihi kabisa na ipo kibiblia..(kwasababu maneno ya kinywa yana nguvu).…
Swali: Mafuta Mabichi yapoje, na yanafunua nini kiroho? Jibu: Tureje.. Zaburi 92:10 “Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa MAFUTA MABICHI”. Mafuta mabichi yanayozungumziwa hapo si mafuta ambayo…
Kama umeokoka kikweli kweli kwanini uchawi uwe na nguvu kwako?? Hesabu 23:22 “Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama NGUVU ZA NYATI. 23 Hakika HAPANA UCHAWI juu ya Yakobo,…
Swali: Je ni kweli kwamba kiganja cha mkono wa kushoto au wa kulia kikiwasha basi ni ishara ya kupata pesa? Jibu ni LA!.. hakuna uhusiano wowote kiganja kuwasha na fedha…
Kurarua mavazi ni utamaduni wa wayahudi na watu wa zamani kuonyesha hisia zao kwa kuyararua (kuchana) sehemu ya mavazi yao kama isha ya Toba (kujishusha) au maombolezo au majuto. …
Waebrania 10:37 “Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, YEYE AJAYE ATAKUJA, wala hatakawia”. Angalia muda unavyokimbia, angalia majira yanavyobadilika, angalia maasi yanavyoongezeka kwa kasi.. Je! yote haya unajua ni ishara…
SWALI: Naomba kufahamu nini maana ya Isaya 40:12 inaposema maji kwa konzi ya mkono, na mbingu kwa shubiri? Isaya 40:12 “Ni nani aliyeyapima maji kwa konzi ya mkono wake, na…
SWALI: Naomba kufahamu maana ya 1Wakorintho 4: 7 Maana ni nani anayekupambanua na mwingine? Nawe una nini usichokipokea? Lakini iwapo ulipokea, wajisifia nini kana kwamba hukupokea? JIBU: Ukianza kusoma tokea…
(Masomo maalumu kwa wazazi na walezi) Marko 9:21 “Akamwuliza babaye, Amepatwa na haya tangu lini? Akasema, TANGU UTOTO Na mara nyingi amemtupa katika moto, na katika maji, amwangamize; lakini ukiweza…
Jicho kucheza cheza maana yake nini?.. au inaashiria nini kiroho?..Je ni ishara ya kwamba kuna mtu ananisema au kuna jambo baya linakwenda kutokea?. Jibu: Jicho kucheza ni kitendo cha kope…