Ifuatayo ni mistari michache ya biblia inayohusu maombi. Zekaria 10:1 “Mwombeni Bwana mvua wakati wa masika, naam, Bwana afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni.”…
Ifuatayo ni baadhi ya mistari ambayo itamsaidia mtu kupata kibali aidha KWA MUNGU au kwa WANADAMU, au KWA WAKUU Au vyote kwa pamoja (Mungu pamoja na wanadamu). KIBALI CHA MUNGU:…
SWALI: Biblia inamaana gani inaposema “Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango”. Yakobo 5:9 Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango. JIBU: Neno la Mungu halitoi nafasi ya…
NI ALIYEFIFIA MAVAZI AU MWENYE MAVAZI MEUPE? Yesu anajifunua kwa watu kulingana na jinsi mtu huyo anavyotembea naye. Wapo watu wanatembea na Bwana Yesu katika mng’ao wake wa ajabu. Lakini…
Je! Umejengwa kweli juu yake? Ukimuuliza mtu, mwamba ni nini, ni rahisi kukujibu YESU. Jibu ambalo ni sahihi, maandiko yanatuthibitishia hilo Yesu kuwa Yesu ni mwamba (Mathayo 21:42, 1Wakorintho 10:4).…
Swali: Kwanini katika biblia lisitumike neno “Mwizi” na badala yake linatumika neno “Mwivi”...Mwivi ni nini? Jibu: Mwivi na Mwizi ni Neno moja, lenye maana moja.. isipokuwa ni lugha mbili za nyakati…
Swali: Je Neno “Kalvari” tunalisoma wapi katika biblia?, na tofauti yake na Golgotha ni ipi? JIbu: Katika biblia ya Kiswahili hakuna neno “Kalvari”, bali kuna neno “Golgotha” ambalo tunalisoma katika…
Swali: Je wale waliowekewa tayari ni akina nani na kwanini Bwana Yesu aseme maneno yale? Jibu: Tuanzie kusoma mstari wa 20.. Mathayo 20:20 “Ndipo mama yao wana wa Zebedayo akamwendea…
Swali: Wenye kutia Kalafati ni watu gani? Jibu: Neno “Kalafati” limeonekana mara mbili tu katika biblia, katika Ezekieli 27:9 na Ezekieli 27:27. Na maana yake ni “Kamba nyembamba iliyotengenezwa kwa…
Je! Unaona Fahari juu ya nini? Ni kitu gani unachokionea Fahari?.. Je ni mali?, ni vyeo?, au uwezo ulio nao?.. Kama Bwana amekujali kukupa hivyo vyote, basi mshukuru lakini usijionee…