DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mashonde ni nini? (Ezekieli 4:15).

Swali: Mashonde ni kitu gani kama tunavyosoma katika Ezekieli 4:15, na yamebeba ufunuo gani? Jibu: Turejee.. Ezekieli 4:12“Nawe utakila kama mkate wa shayiri, nawe utakioka mbele ya macho yao juu…

Bwana alimaanisha nini kusema “atazamaye mwanamke kwa kumtamani” amezini naye?

Je! Kutamani kwa namna yoyote hakufai? Mathayo 5:27  Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28  lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. JIBU: Ukitafakari hapo…

Yesu alipopaa juu aliteka mateka, Kauli hiyo ina maana gani?

SWALI: Ni mateka yapi hayo aliyoyateka..na ni vipawa gani alivyowapa wanadamu.? Waefeso 4:8 Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.  JIBU: Ufalme wa Mbinguni umefananishwa na ngome Fulani, yenye hazina…

Makonde ni nini? (Marko 14:65)

Swali: Yale Makonde Bwana Yesu aliyopigwa yalikuwaje?. Jibu: Turejee.. Marko 14:65 “Wengine wakaanza kumtemea mate, wakamfunika uso, na KUMPIGA MAKONDE, na kumwambia, tabiri. Hata watumishi nao wakampiga makofi”. “Makonde” ni…

TENGENEZA MAMBO YA NYUMBA YAKO.

Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika mafundisho ya Neno la Mungu. Ni vema tukafahamu tarajio la Mungu kwa kila mwanadamu ni lipi kabla ya kumaliza…

Yesu anapoitwa mwana wa Azali, maana yake nini?

Azali ni neno linalomaanisha milele, isiyokuwa na mwanzo, wala mwisho. Hivyo, watu wanaposema Yesu mwana wa Azali wa Mungu, wanamaanisha Yesu mwana Mungu asiyekuwa na mwanzo. Neno hili utalisikia sana…

Vyemba ni nini kama tunavyosoma katika 2Samweli 18:14

Vyemba kama lilivyotumika hapo ni mkuki. Absalomu mwana wa Daudi alipomwasi baba yake, na kusababisha vita vikubwa katika Israeli, Tunasoma, alipokuwa vitani, akiwa amepanda mnyama wake, alipita chini  ya mti…

SI KILA KILICHO HALALI KINAFAA.

(Jihadhari na Marashi) Si mambo yote yanayokubalika katika jamii basi yanafaa kwa mkristo.. Si mambo yote yanayokubaliwa na wengi basi yanafaa..ni muhimu kuchuja kila tunaloambiwa au tunayokutana nalo, kabla ya…

JINSI YA KUISHINDA HALI YA MSONGO WA MAWAZO.

Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana  na  matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa kuzitatua…

Mwanamke aliyepotelewa na sarafu yake.

Huu ni mwendelezo wa Mafundisho maalumu yawahusuyo wanawake. Mwanamke aliyepoteza shilingi moja. Luka 15:8  Au kuna mwanamke gani mwenye shilingi kumi, akipotewa na moja, asiyewasha taa na kufagia nyumba, na…