DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya ufalme wa Mungu hauwi katika neno bali katika nguvu?(1Wakorintho 4:20).

Swali: Je, Mtume Paulo alimaanisha Nini kusema Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno Bali katika nguvu?. Jibu: Turejee mstari huo.. 1 Wakorintho 4:20 “Maana ufalme wa Mungu hauwi katika…

AINA TATU ZA IBADA ZA SANAMU.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu, lililo Taa ya njia zetu na Mwanga wa njia yetu (Zab. 119:105). Zipo aina…

Maana ya Mithali 17:22 Moyo uliochangamka ni dawa nzuri;

SWALI: Nini maana ya Mithali 17:22 Moyo uliochangamka ni dawa nzuri; Bali roho iliyopondeka huikausha mifupa. JIBU: Mstari huu unatuonyesha jinsi gani hali ya moyo inavyoweza kuathiri hali za nje…

Maana ya Mithali 10:12 Kuchukiana huondokesha fitina

Elewa maana ya mstari huu; Mithali 10:12 Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote. Mstari huu unalenga kutufundisha sifa za kipekee sana za upendo. Ambazo zinazungumziwa pia sehemu mbalimbali.…

MALAIKA NI WALIMU WA SIFA KWETU, TUJIFUNZE KWAO!

Malaika watakatifu waliopo mbinguni, wanaompa Mungu utukufu usiku na mchana, ni WAALIMU wazuri wa SIFA, na KWAYA kwetu!.. Hao wamewekwa ili kutufundisha sisi namna ya kumwimbia Mungu katika viwango vya…

Nardo ni nini? (Yohana 12:3)

Jibu: Turejee.. Yohana 12:3 “Basi Mariamu akatwaa ratli ya marhamu ya NARDO SAFI yenye thamani nyingi, akampaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake. Nayo nyumba pia ikajaa harufu ya…

Kimiami ni nini? (Wimbo ulio bora 2:9).

Jibu: Turejee, Wimbo 2:9 “Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani”. “Kimiami” ni dirisha kubwa lililo katika “ghorofa”.. Madirisha makubwa…

MAMBO YA KUJIFUNZA KATIKA KITABU CHA MATHAYO.

(Hotuba za Yesu) Kitabu cha Mathayo ni moja ya vitabu vinne (4), vya injili. Yapo mambo mengi ya kujifunza ndani yake, lakini katika makala hii, tutaona mambo muhimu ya kufahamu…

Kwa namna gani mauti ya wacha Mungu ina thamani machoni pake? (Zaburi 116:15).

Swali: Je ni kwamba Mungu anafurahia Mauti ya watu wake mpaka aseme hivyo? Jibu: Turejee mstari huo… Zaburi 116:15 “Ina thamani machoni pa Bwana Mauti ya wacha Mungu wake” Sasa…

Ni kelele gani zinazozungumziwa hapo katika Waefeso 4:31.

Waefeso 4:31 “Uchungu wote na ghadhabu na hasira NA KELELE na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya”. Kelele zinazozungumziwa hapo ni kelele za  “Maneno” , kelele za…