DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

HUJAPEWA MBAWA ZA KUKIMBIA MATATIZO

Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe. Ningekwenda zangu mbali,  Ningetua jangwani. Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.

Wokovu wa kweli ni upi? Je unaposema umeokoka, ni nini kinakupa uhakika huo? Fahamu ni nini Bwana anataka kuona kwako, pindi tu unapookoka. Ni kweli katika Warumi 10:9 biblia inasema;…

Je shetani anaweza kushusha moto kutoka mbinguni?

Swali: Ayubu alijaribiwa na shetani, iweje biblia iseme “Moto wa Mungu ulishuka kutoka mbinguni kuteketeza kondoo zake”?. Jibu: Tusome, Ayubu 1:14 “Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema,…

Nini maana ya huu mstari? “Yeye mwenyewe ataokolewa lakini ni kama kwa moto”

Tusome, 1 Wakorintho 3:11 “Maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka, isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa, yaani, Yesu Kristo. 12 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au…

EE MUNGU, MUNGU WANGU, NITAKUTAFUTA MAPEMA:

EE MUNGU, MUNGU WANGU, NITAKUTAFUTA MAPEMA:

TUYATENDE MAMBO YOTE KWA UZURI NA UTARATIBU.

Ipo kanuni moja ya kuuvuta uwepo wa Mungu na miujiza ya kiMungu karibu nasi. Na kanuni yenyewe ni KUKAA KATIKA UTARATIBU. Mungu siku zote ni Mungu wa utaratibu!, mahali pasipo…

MUNGU ALIVICHAGUA VITU AMBAVYO HAVIKO.

MUNGU ALIVICHAGUA VITU AMBAVYO HAVIKO.

Sinagogi kufumakana maana yake nini? (Matendo 13:43).

Jibu: Tusome, Matendo 13:42 “Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili. 43 SINAGOGI ILIPOFUMUKANA, Wayahudi na waongofu watauwa wengi wakashikamana na Paulo na Barnaba; ambao, wakisema nao,…

Na ulimi laini huvunja mfupa.(Mithali 25:15)

SWALI: Biblia ina maana gani kusema “Na ulimi laini huvunja mfupa”? (Mithali 25:15) Mithali 25:15 “Kwa uvumilivu mwingi mkuu husadikishwa; Na ulimi laini huvunja mfupa”. JIBU: Ulimi ni kiungo kilaini…

NDIPO HUENDA AKACHUKUA PEPO WENGINE SABA.

Luka 11:24 “Pepo mchafu amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika; asipoona, husema, 25 Nitairudia nyumba yangu niliyotoka. 26 Hata afikapo, akaiona imefagiwa na kupambwa, ndipo huenda…