DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Vitimvi ni nini kibiblia?

Vitimvi ni mipango inayopangwa kwa siri na  kikundi cha watu ili kufanya uasi juu ya mtu au watu. Katika biblia Mitume wa Bwana Yesu walifanyiwa vitimvi vingi sana vya kuwaangamiza,…

FUNDISHO KUU LA NEEMA YA MUNGU KWETU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia, chakula cha uzima wa roho zetu. Maandiko yanasema kuwa tunaokolewa kwa Neema na si kwa matendo, Waefeso 2:8 “Kwa maana…

MAJIBU YA MASWALI YANAYOULIZWA NA WASIO WAKRISTO (Sehemu ya kwanza).

Swali 1: Ni nani aliyemshawishi Daudi kuwahesabu Israeli ni Mungu au shetani?..Maana 2Samweli 24:1 inasema ni Mungu lakini 1Nyakati 21:1 inasema ni shetani. Jibu: Ni shetani ndiye aliyemshawishi Daudi kwa…

Tunguja ni nini katika biblia? (Mwanzo 30:14).

Tunguja ni aina ya mmea ambao haupatikani kirahisi, mmea huo una mizizi ambayo inakuwa na umbile kama la mtu. Kutokana na maumbile hayo ya mizizi ya mmea huo, kufanana na…

Je Mungu huwa anajuta?

Je Mungu huwa anajuta?

Nini maana ya kupiga Kite! Katika biblia.

Neno kupiga kite limeonekana mara kadhaa katika biblia. Maana ya “kupiga Kite” ni kutoa pumzi nje, kuashiria aidha kushangazwa, kupata unafuu au kukata tamaa. Kwamfano mwanafunzi aliyekuwa anasubiria matokeo ya…

Podo ni nini na umuhimu wake ni upi rohoni?

Podo ni nini na umuhimu wake ni upi rohoni?

Mjoli ni nini/ ni nani katika biblia?

Mjoli ni mfanyakazi-mwenza, Ni mtu unayefanya naye kazi moja inayofanana.. Kwamfano kama wewe ni mwalimu, ukakutana na mwalimu mwenzako huyo ni mjoli wako...Kama wewe ni mhubiri ukakutana na mhubiri mwenzako…

Je ni kweli miaka yetu ya kuishi ni 80 tu (kulingana na Zaburi 90:10).

Maandiko yanasema siku zetu za kuishi ni miaka70 tukiwa sana na nguvu ni miaka 80, sasa swali mbona kuna wengine wanaizidi hiyo miaka na kufikisha hata miaka 90? Tusome, Zaburi…

Ni wayahudi wa aina gani wanaotajwa kuwa sinagogi la shetani? (Ufunuo 2:9, Ufunuo 3:9)

Ni wale wa wayahudi wa kimwili au kiroho?, yaani ni wale wazaliwa wa Uyahudi au wale walimomwamini Kristo Yesu na kufanyika kuwa wayahudi kwa namna ya rohoni. (Ufunuo 2:9, ufunuo…