Sadaka ya amani, ilikuwa ni sadaka inayotolewa kwa Mungu kutokana na amani mtu aliyoipata; Tofauti na ambavyo ingeweza kutafsirika kuwa ni sadaka ambayo mtu angeitoa kwa Mungu ili kupatana naye!…
Kigao ni aina ya silaha inayofanana na ngao, Inachokitofautisha kigao na ngao ni kwamba kigao ni kidogo na chepesi, rahisi kubebeka, na huwa kinafungwa mkononi, lakini ngao huwa ni kubwa…
Je kama mtu hataki au hajisikii kushiriki meza ya Bwana, na akaamua maisha yake yote kutokufanya hivyo, lakini amri nyingine anashika, je ataokolewa siku ya mwisho?. Jibu: Shalom. Yapo maandiko…
SWALI: Kulingana na Hesabu 9:11 Je! kuna sikukuu za pasaka mbili kwa mwaka? Hesabu 9:11 "mwezi wa pili, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, wataishika; watamla…
Kuna siku Fulani nikiwa nasafiri kwenye gari, nikamsikia mtu fulani kwenye redio akisema “Rafiki wa adui yako ni Adui yako”..akimaanisha kuwa “mtu yeyote ambaye atashirikiana na yule mtu anayekupinga wewe,…
Karibu tujifunze Biblia. Je umewahi kujiuliza ni NEEMA IPI MARIAMU ALIYOPEWA NA MUNGU? Luka 1:28 “Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, ULIYEPEWA NEEMA, Bwana yu pamoja nawe. 29 Naye akafadhaika sana…
Jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia, (Neno la Mungu wetu), ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu katika safari yetu ya kwenda mbinguni kwa…
Kibiblia Kitanga ni sehemu ya mwisho wa mkono wa Mtu, au mnyama..kwa jina lingine ni kiganja. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi. Danieli 5:24-25 Ndipo kile kitanga cha ule mkono…
Mwana anayependwa na wazazi wake ni lazima apitie vipindi vya kurudiwa! (maana yake vya kuonywa, au wakati mwingine kuadhibiwa pale anapokosa). Na kama sisi wanawadamu tunawarudi watoto wetu pale wanapofanya…