DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mshahara wa Mbwa ni upi? Kama tunavyousoma katika Kumbukumbu 23:18

Jibu: Tusome, Kumbukumbu 23:18 “Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya Bwana, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa Bwana,…

NI NANI ALIYEKUPA MAMLAKA HII UYATENDE HAYA?

NI NANI ALIYEKUPA MAMLAKA HII UYATENDE HAYA?

LEO WOKOVU UMEFIKA NYUMBANI HUMU

Je! Wokovu umekufikia? Wengi wanasema wamepata wokovu lakini kiuhalisia wokovu bado haujawafikia. Leo napenda tujifunze juu ya viashiria vinavyorhibitisha kuwa wokovu umetufikia, au umefika nyumbani kwetu. Tusome habari za mtu…

Kuhubiri injili kwa husuda na fitina ndio kupi?

Wanahubiri injili kwa sababu ya fitina na husuda

NINI TUNAJIFUNZA KWA THEOFILO MTUKUFU?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu. Leo tutajifunza juu ya mtu…

FAHAMU JINSI MUNGU NA SHETANI WANAVYOZUNGUMZA NA WATU.

Ulishawahi kuyatafakari kwa makini haya maneno ya Bwana Yesu? Yohana 8:38 “Niliyoyaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo”. Maneno hayo aliwaambia wayahudi (Mafarisayo…

Kisima cha joka na lango la jaa ni nini?(Nehemia 2:13)

SWALI:Bwana Yesu asifiwe naomba kuelewa “Kisima cha joka”  na “lango la jaa” vina maana gani kama tunavyosoma katika Nehemia 2:13 JIBU: Nehemia alipopata taarifa juu ya uharibifu wa mji wa…

Makerubi wenye sura nne, ni kweli wapo? na je! wanyama wataenda mbinguni?

SWALI: Wale  Makerubi wenye sura nne, ni kweli wapo au ni mfano wa picha tu? Na je! wanyama wataenda mbinguni? Jibu: Awali ya yote ni muhimu kufahamu kuwa viumbe vyote…

UTAYAFIKIAJE MANENO SAFI YA MUNGU?

Watu wengi wanasoma biblia lakini si wote wanayafikia maneno SAFI YA MUNGU. Jambo ambalo watu wengi hatujui ni kuwa tunadhani, tunapoisoma biblia kwa mara moja, tayari tumeshayafikia “maneno safi ya…

Je Adamu na Hawa, walikuwa hawafanyi mema kabla ya kula tunda?

SWALI: Ni mema gani na mabaya gani, Adamu na Hawa waliambiwa watayajua?, Kwasababu Kama ni mema siwalikuwa wanayafanya hapo kabla? JIBU: Ili tuweze kuelewa vizuri, tujifunze katika mifano ya kawaida…