DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

KUNA NGUVU YA ZIADA KATIKA KULING’ANG’ANIA KUSUDI LA MUNGU.

Daudi ni mfalme ambaye alikuwa amezungukwa na mashujaa hodari sana, na mashujaa hao aliowachagua walikuwa wamegawanyika katika makundi makuu matatu, Kundi la kwanza kabisa ambalo lilikuwa ndio la juu kabisa…

TUFANANE NA WATAKATIFU WA MAKEDONIA.

Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maandiko. Sisi kama wakristo, ili tuweze kukua kutoka utukufu hadi utukufu, na imani hadi imani, hatuna budi kuyatafakari…

Naomba kujua maana ya haya maneno katika biblia..“Siti Msharifu”, “Mitalawanda” na “kulalama”

Jibu: Tukianza na Neno “Siti Msharifu”. Neno hili tunalipata mara moja tu! Katika biblia nzima katika kitabu cha Wimbo ulio bora 7:1. Wimbo ulio bora 7:1 “SITI MSHARIFU, jinsi zilivyo…

Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 23:27 “Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba. 28 Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu”. JIBU:…

Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.

SWALI: Kwanini Bwana Yesu alisema watu wa kizazi kile wamefanana na watoto walioketi masokoni na kuitana,? Mfano huo unaelewekaje? Na pia alikuwa na maana gani kusema maneno haya? Luka 7:35…

PONGEZI NA MAONYO YA BWANA KWA WATAKATIFU.

Kama wewe ni mtoto wa Mungu kweli kweli na sio mwana-haramu, ni vema ukafahamu tabia za Mungu kwako zinavyokuwa hususani katika eneo la pongezi na maonyo, ili usije ukaishi maisha…

Ni kweli Paulo alipuuzia maonyo aliyopewa ya kwenda Yerusalemu?

SWALI: Je Ni kweli Mtume Paulo alipuuzia, maonyo aliyoonyeshwa na Roho Mtakatifu kwa kinywa cha Agabo juu ya kwenda  Yerusalemu? JIBU: Tusome habari yenyewe kwa faida ya watu wote; Matendo…

Ni kama machungwa katika vyano vya fedha.

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 25: 11 “Neno linenwalo wakati wa kufaa, Ni kama machungwa katika vyano vya fedha”. JIBU: Vyano ni wingi wa neno “Chano”, lenye maana…

MASOMO MAALUMU KWA WANAWAKE.

Somo no. 01 (Hawa) Somo no.02 (Binti wa Yeftha). NAFASI YA MWANAMKE KATIKA KANISA MWANAMKE, BINTI, MAMA.( Sehemu ya 1) MWANAMKE, BINTI, MAMA. (Sehemu ya 2) MWANAMKE, BINTI, MAMA. (Sehemu…

Nini maana ya Kuzumbua na kujitoja?

Nini maana ya kuzumbua na kujitoja? Katika biblia.(Walawi 6:3, Kumbukumbu 14:1, ) Jibu: Neno kuzumbua tunalisoma katika kitabu cha Mambo ya Walawi 6:3, na tafsiri ya neno hilo ni “kukipata…