SWALI: Nini maana ya “saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada?" Jibu: Unabii huo Bwana Yesu aliutoa kwa wanafunzi wake, pamoja na wote ambao watakuja kumwamini…
Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Siku ya leo, dunia inaadhimisha tukio kuu lililotokea takribani miaka 2000 iliyopita, Na tukio lenyewe ni lile la kufufuka kwa Bwana…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko. Leo tutajifunza mbinu nyingine ambayo adui shetani anaitumia kuwapunguzia watu kasi ya kumtafuta Mungu. Ni wazi kuwa kila mtu…
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima, ambayo ndio chakula cha kweli kutupacho afya roho zetu. Lipo jambo moja nataka tujifunze leo linalohusiana…
SWALI: Biblia ina maana gani inaposema “Mwenye hekima huvuta roho za watu”? JIBU: Tusome. Mthali 11:30 “Mazao ya mwenye haki ni mti wa uzima; Na mwenye hekima huvuta roho za…
Je kuna uthibitisho wowote wa kimaandiko kwamba kutakuwa na mateso baada ya kifo kwa wale watakaokufa katika dhambi?. Jibu ni ndio.. Tusome, Luka 16:22 “Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na…
SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “Kwa kuwa kama wakitenda mambo haya katika mti mbichi, itakuwaje katika mkavu? (Luka 23:31) JIBU: Tunaona sehemu mbalimbali katika biblia Bwana Yesu alijifananisha na…
Adhama ni neno lenye maana ya “Uzuri wa hali ya juu sana”. Na huu uzuri ni Bwana Yesu tu peke yake ndio anao, yeye ndiye mwenye adhama. Zaburi 93: 1…
SWALI: Katika 2Samweli 24:1-14, Hapo tunaona Daudi anasema, afadhali kuangukia katika mkono wa Bwana, lakini anapingana na Paulo katika Waebrania 10:31, anaposema ni jambo la kutisha mtu kuangukia katika mikono…
Kitabu cha Tito ni waraka ulioandikwa na Mtume Paulo, kwa mtu anayejulikana kama Tito. Tito alikuwa ni mmoja wa watu waliogeuzwa kumgeukia Kristo, kupitia injili ya Mtume Paulo. Na mtu…