SWALI: Bwana asifiwe,ukisoma zaburi 51:5,Daudi ana sema mama yake alichukua mimba hatiani, Je kwa mistari hiyo ina maana hakuwa mtoto wa Ndoa wa Yese? JIBU: Zaburi 51:5 inasema “ Tazama,…
Neno hili utaona likijuridia mara nyingi katika biblia husani katika maneno ya Daudi, Kwamfano utaona katika 2Samweli 22:2 Daudi anasema… “.Bwana ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu,…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maandiko.. Mathayo 13:51 “Yesu aliwauliza, Mmeyafahamu hayo yote? Wakamwambia, Naam. 52 Akawaambia, Kwa sababu hiyo, kila mwandishi mwenye elimu ya ufalme…
Today, there's a unique power working throughout the world to influence and draw men unto Christ to be saved. It is the power of the Holy Spirit which stirs people…
Biblia inatuambia kuwa viumbe vya Mungu navyo vinaugua, na vinapitia shida kama sisi tu tunavyopitia.. Warumi 8:22 “Kwa maana twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja, navyo vina utungu…
Ayala ni mnyama jamii ya swala, ambaye anapatikana sana maeneo ya nchi za barini, wana pembe ndefu zilizotawanyika kama mashina ya miti (Tazama picha juu). Paa ni jamii ya swala…
Tusome.. Wimbo 2:1 “Mimi ni ua la uwandani, Ni nyinyoro ya mabondeni. ” Hapo kuna vitu viwili, 1) Ua la uwandani, na 2) Nyinyoro ya mabondeni. Sasa kwa urefu juu ya…
Jibu: Pambaja ni neno linalo maanisha “upendo” (ule wa mwanaume na mwanamke). Upo upendo wa ndugu kwa ndugu, mfano upendo wa Mzazi na mtoto, dada na kaka wa familia moja…
Kwamfano tukisoma katika injili ya Mathayo, tunaona, mwandishi anaanza kueleza ukoo wa Yesu tangu Ibrahimu Mpaka Yusufu, lakini alipofika kwa Daudi, aliendelea na kusema Daudi akamzaa Sulemani, (Mathayo 1:6)..Lakini tukirudi…
Biblia haijatoa idadi kamili ya malaika Mungu aliowaumba, inatumia neno “MAJESHI” ambayo majeshi yenyewe hayo yapo maelfu kwa maelfu. Waebrania 12:22 “Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu…