DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kitabu kifupi katika biblia ni kipi, na ujumbe wake ni upi?

Kitabu cha waraka wa pili wa Yohana ( 2 Yohana ) ndicho kitabu kifupi kuliko vyote katika biblia nzima, kina sura moja tu na mstari 13, kinapatikana katika agano jipya.…

Kwanini wajane vijana hawakupaswa kuandikwa?

SWALI: Kwanini Mtume Paulo, alimkataza Timotheo asiwaandike wajane vijana? Je wajane vijana hawapaswi kusaidiwa au? Jibu: Kabla ya kwenda kwenye jibu la swali letu, kuna mambo muhimu ya kufahamu kwanza…

Nguo za magunia katika biblia ni zipi?

Nguo za magunia( au mavazi ya magunia) ndiyo mavazi ya namna gani ? Magunia kama biblia inavyotafsiri ni tofauti na inavyotafsiriwa sasa, Leo hii ukizungumzia magunia unamaanisha labda mifuko aina…

TUMEPEWA AMRI YA KUKANYAGA NGE NA NYOKA.

Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Unapomkiri Yesu kwa Kinywa, au unapojisalimisha kwa Yesu, kwa kudhamiria kabisa, dakika hiyo hiyo..Shetani anaangushwa juu yako, kama umeme…Na anawekwa chini ya miguu yako…

NA BAADA YA LILE TONGE, SHETANI AKAMWINGIA.

Shalom, leo tutajifunza madhara ambayo tunaweza kuyapata pale tunapoukataa  ule upendo wa mwisho kabisa wa Yesu Kristo. Yuda alikuwa ni mtume wa Yesu, lakini kama tunavyojua habari yake, alikuwa mwizi,…

Pesa za bindoni ni nini?(Marko 6:8)

Bwana Yesu aliposema pesa za bindoni alimaanisha pesa za mfukoni.. mfuko unaozungumziwa ni ule wa kuvaa kiunononi ambayo ndio ilitumika zamani. tazama picha. Marko 6:7 “Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma…

Fitina maana yake nini kwenye biblia?

Fitina ni nini? Katika biblia Fitina maana yake ni “kufanya mageuzi au mapinduzi”. Mtu ambaye anataka kufanya mapinduzi labda ya kimamlaka, kutokana na kwamba labda hakubaliani na serikali yake, au…

VITABU VYA BIBLIA: Sehemu ya 9 (Kitabu cha Ayubu).

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu katika uchambuzi wa vitabu vya biblia, tumekwisha jifunza vitabu kadhaa vya mwanzo, kama utakuwa hujavipitia na ungependa kufanya hivyo, basi unaweza kufungua…

JONAH’S VINE.

When God wants to give us a message, he speaks to us through parables or even signs. The parables are meant to help us understand God's feelings about us or…

Kijicho ni nini? (Marko 7:22)

Kijicho ni nini kibiblia? Kijicho ni kitendo kilichoaminika na jamii nyingi za zamani, kwamba mtu anaweza kukusababishia madhara au kukuletea laana, kwa kukutazama tu kwa macho yake, na hiyo inaweza…