Katika kitabu cha Zaburi na Mithali Neno mpumbavu linatajwa sana, naomba kufahamu mpumbavu ni mtu wa namna gani kibiblia? Biblia haielezi moja kwa moja maana ya mpumbavu, bali inaeleza tabia…
Hivi ni vifupisho vya nyakati. K.K – Maana yake ni Kabla ya kuzaliwa Kristo Yesu. Kwa kiingereza (B.C – Before Christ) Na B.K - Maana yake ni Baada ya kuzaliwa…
Hosana ni neno la kiyahudi lenye maana ya “OKOA”. Neno hili limeonekana mara ya kwanza kwenye biblia kipindi wakati Bwana Yesu anaingia Yerusalemu, ambapo wenyeji walimpokea kwa furaha, wakimwimbia na…
Watu wa mataifa mengine yote ya ulimwengu tofauti na Taifa la Israeli, ndio wanaojulikana kama “watu wa Mataifa”. Mungu alipoanza mpango wake wa kurejesha uhusiano wake na mwanadamu ambao ulipotea…
Kuota upo nchi nyingine. Kama tunavyojua ukisafiri mahali ambapo ni tofuati na makazi yako ya asili, utakutana na mabadiliko mengi sana, hususani pale unapovuka mipaka na kuingia katika nchi nyingine,…
Sodoma ipo nchi gani? Sodoma na Gomora ni miji iliyokuwa katika nchi ya Kaanani (Ambayo ndio Israeli ya Sasa). Miji hii miwili ni moja kati ya miji mitano iliyokuwa katika…
Shalom!. Karibu tuyatafakari pamoja maandiko. Elimu yoyote ile ya kidunia ni hekima..hekima sio tu kujua Nahau, na misemo na methali. Mtu anayekwenda kusoma elimu fulani labda ya uchumi au udaktari,…
Jibu: Tusome mstari huo kuanzia juu kidogo. Warumi 14:21 “Ni vyema kutokula nyama wala kunywa divai wala kutenda neno lo lote ambalo kwa hilo ndugu yako hukwazwa. 22 Ile imani…
Luka 23:42 “Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi”. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia.…
Je! Biblia ina vitabu vingapi? Biblia takatifu ina jumla ya vitabu 66, kati ya hivyo 39 ni vya agano la kale, na 27 ni vya agano jipya. Hii ni orodha…