DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

ONDOKA YESU, TUACHIE MAPEPO.

Shalom karibu tuyatafakari maandiko, leo tutaangazia kile kisa cha Yesu na yule mtu aliyekuwa na mapepo kule makaburini. Pengine ulishawahi kuisoma hii habari mara nyingi, lakini naomba tuisome tena kwa…

Je tunapaswa tushiriki Meza ya Bwana mara ngapi?

SWALI: Je tunapaswa tushiriki Meza ya Bwana mara ngapi kwa Mwezi, au kwa Mwaka? Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Ni neema ya Mungu tumeiona siku mpya ya leo,…

Konzi ni nini?(Mhubiri 4:6)

Konzi ni kiasi cha kujaa mkono. Kama vile ilivyo kiasi cha kujaa ndoo kinavyoitwa debe, vivyo hivyo na kiasi cha kujaa mkono kinaitwa konzi. Tazama picha juu. Hivi ni baadhi…

Baghala ni nini katika maandiko?(2Wafalme 5:16).

Baghala kwa jina lingine ni nyumbu, lakini sio Yule nyumbu wa porini, bali ni mnyama chotara anayezalishwa kwa kukutanishwa Farasi na Punda. Tazama picha juu. Utalisoma Neno hilo (Baghala) katika…

KUMBE MUNGU ANAWEZA KUKULIPA KWA USICHOSTAHILI!

Shalom, Bwana atusadie ili kila siku tuzidi kuujua uweza wa Mungu, Kuna wakati Bwana Yesu aliwaambia viongozi wa dini na watu wote kuwa wanapotea kwasababu moja tu, nayo ni kwasababu…

Njuga ni nini (Isaya 3:16, Zekaria 14:20)?

Njuga ni kengele ndogo ndogo zinazofungwa miguuni au mikononi, na wakati mwingine shingoni, wanavishwa watoto, au watu wanapotaka kucheza ngoma, au wanyama, kama vile ngamia, na farasi n.k..tazama picha Hivi…

Mjanja ni mtu wa namna gani kwenye biblia?(Mathayo 27:63)

Mjanja ni mtu anayetumia njia za kujifanya, ili kuwadanganya au kuwalaghai wengine. (Mtu mdanganyifu). Makuhani walimwita Bwana wetu kwa jina hilo; walimfananisha na mtu mdanganyifu anayewalaghai watu kwa kujifanya kuwa…

WAPE WATU WANGU RUHUSA ILI WAPATE KUNITUMIKIA.

Safari ya wana wa Israeli kutoka Misri, kuelekea Kaanani, ni ufunuo kamili wa safari yetu ya Kristo kutuokoa katika dhambi na kutuingiza katika Neema ya wokovu. Musa anafananishwa na Kristo..…

Neno Bildi linamaanisha nini kwenye biblia(Matendo 27:28) ?

Bildi ni kitu cha kupimia kina cha maji,Mara nyingi huwa ni kamba ambayo wanaifungia kitu kizito kwenye moja ya ncha zake, kisha wanakishusha kitu hicho kwenye maji, aidha  ya mto,…

KUNA WAKATI YESU ATAPITA NA WATU HAWATAJUA.

Jina tukufu la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tuzidi  kujifunza maneno ya uzima, kwasababu tupo katika nyakati za ukongoni kweli kweli, hivyo ni wajibu wetu kuzidi kujua mambo yahusuyo…