How many children did Ibrahim have? Ibrahim had total number of eight(8) children according to the bible, And all were men. The first son was Ishmael, who was born to…
What does mote and beam mean? (Matthew 7:3 ) A beam is a very large piece of wood, it can be a log, or a pillar, or any wide plank.…
Who is Azazel/ scapegoat? The word Azazel/scapegoat is mentioned only once in the bible, we read it in the book of Leviticus chapter 16. Azazel was not a man or…
Shalom, nakukaribisha tuyatafakari Pamoja maneno ya uzima. Katika hichi kipindi cha mwisho, kuna mwitikio mmoja tu, ambao utamtambulisha bibi-arusi wa kweli wa Kristo ni nani.. Kumbuka bibi-arusi ni tofauti na…
Jina La Bwana wetu Yesu libarikiwe. Karibu tuyatafakari maandiko tena siku ya leo. Kuna mtafaruku mkubwa sana katika ukristo kuhusu vyakula, wapo wanaoamini kuwa vipo vyakula najisi na wapo wanaoamini…
Hazama ni nini? Hazama ni pete ya puani. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Mwanzo 24:47, Kutoka 35:22, Na pia ukisoma Ezekieli sura ya 16 yote utaona jinsi Mungu anavyolilinganisha…
Katika biblia shetani amepewa majina tofauti tofauti na hiyo ni kutokana na aina ya kazi anazozifanya hapa duniani, kwamfano biblia inapomwita shetani/ibilisi ni kwasababu ni mpinzani na mshitaki wa roho…
Mavu ni nini? Mavu ni wadudu jamii ya nyuki, kwa jina maarufu ni NYIGU. Maumbile yao ni makubwa zaidi ya nyuki wa kawaida, Na mauvimu yao ni kama tu yale…
Pomboo ni nini? Pomboo ni aina ya samaki jamii ya nyangumi anayeishi baharini, Anajulikana kwa jina maarufu la DOLPHIN, Ni samaki anayezaa, pia ananyonyesha, lakini zaidi ya yote anasifa ya…
Kupokea chanjo ni dhambi kibiblia? Chanjo ni “ugonjwa dhaifu” unaoingizwa ndani ya mwili wa mtu, ambao mwili una uwezo wa kuudhibiti, na hivyo kuuachia mwili kumbukumbu ya ugonjwa huo pindi…