Swali: Je Bwana Mungu anayo jinsia kama wanadamu tulivyo na jinsia? Jibu: Biblia inasema Mungu alimwumba “MTU” kwa mfano wake, na si “WATU” kwa mfano wake. Na Mtu wa kwanza…
Jibu: Ipo elimu isemayo kuwa “Mtu akiokolewa, ameokolewa na hivyo hawezi kupoteza wokovu”.. (Once saved, always saved). Ni kweli msemo huo ni kama unataka kuleta maana kwamba mtu akiupokea wokovu…
Swali: Patasi ni nini kama tunavyosoma katika kitabu cha Kutoka 32:4? Jibu: Turejee.. Kutoka 32:4 “Akaipokea mikononi mwao akaitengeneza kwa PATASI, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha; nao wakasema,…
Jibu: Turejee.. Mwanzo 9:27 “Mungu AKAMNAFISISHE Yafethi, Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake” Kunafisisha ni “KUTOA NAFASI au KUTANUA” .. Kwani mzizi wa neno hilo…
Jibu: Labda tuanzie mstari ule wa 18, ili tupate kuelewa vizuri. Isaya 3:18 “Siku hiyo Bwana atawaondolea uzuri wa njuga zao, na kaya zao; 19 na pete za masikio, na…
Ni YESU au JESUS au YESHUA Swali: Je tunapaswa kutumia jina lipi katika maombi na utumishi?..Je tutume YESU (kwa lugha ya kiswahili) au JESUS (kwa lugha ya kingereza) au YESHUA…
SWALI: Shuleni tumefundishwa sayari zipi Tisa Lakini je maandiko yanasemaje kuhusu hili, je zipo kweli kwa idadi hiyo? JIBU: Biblia si kitabu cha kisayansi, au cha taaluma yoyote, kwasababu lengo…
SWALI: Naomba kufahamu Je! dunia Ni duara, tufe au ipo kama sahani imefunikwa na glasi kwa juu?. JIBU: Jambo la msingi kufahamu kuhusu biblia ni kwamba, Biblia si kitabu cha…
Swali: Neno la Mungu linasema Katika Yohana 3:18 na 36 ..amwaminiye mwana anao uzima wa milele, asiyemwamini hana uzima? .. Je kuna haja ya kutafuta jambo lingine tena baada ya…
Zaburi 78:18-19 Wakamjaribu Mungu mioyoni mwao Kwa kutaka chakula kwa tamaa zao. Naam, walimwamba Mungu, wakasema, Je! Mungu aweza kuandika meza jangwani? Kumwamba kama ilivyotumika hapo ni “kuzungumza kinyume” Hivyo hapo anaposema “Naam,…