DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

INJILI NI NINI?

Katika Biblia Injili ni nini maana yake? Neno Injili limetokana na Neno la kigiriki "euaggelion" lenye maana ya "Habari Njema". Hivyo Injili maana yake ni habari njema...Tukirudi katika biblia Injili…

USIPOLITENDEA KAZI NENO LA MUNGU.

Luka 12:47b“………Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na Zaidi”. INJILI NI DENI Kila siku tunapolisikia Neno la Mungu tujue kabisa…

JE KUJIUA NI DHAMBI?

Je Kujiua ni dhambi? Ili kufahamu kuwa kujiua ni dhambi au la! Hebu tutafakari mstari ufuatao. 1Wakorintho 6:19 "Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye…

KUOTA UMECHELEWA MAHALI FULANI.

Ndoto kama hizi ambazo unajiona umechelewa mahali fulani, aidha  kuota umechelewa kufanya mtihani, au kuota umechelewa kusafiri, au kuota umechelewa kwenda kazini, au kuota umechelewa kwenye appointment fulani, au kuota…

PENGINE MUNGU ALISHASEMA NAWE KWA NJIA HII.

Mbali na mtu kuona maono au kuota ndoto Kuna mambo mengine ambayo nimeshawahi kuona yakitokea kwa watu wengi, na wengine walikuwa wakiniuliza ni nini maana yake lakini wasifahamu, hata mimi…

Bwana Yesu alizaliwa mwaka gani?

Huu ni mfululizo wa maswali machache yamhusuyo Bwana Yesu, ambayo yamekuwa yakiulizwa na watu wengi hususani wale wasio Wakristo, ambao hawamjui Bwana Yesu kwa mapana, na Baadhi ya maswali hayo…

KUVUNJA MAAGANO YA UKOO.

Unatafuta kujua namna ya kuvunja maagano ya ukoo?. Upo sehemu sahihi fuatilia somo hili hadi mwisho kabisa utafahamu njia rahisi ya kuondokana na hizo laana milele zisikurudie tena. Biblia inasema:…

JE! MUNGU NI NANI?

Je Mungu ni nani? Neno "Mungu" linatokana na neno "Muumbaji" au "mtengenezaji"...Kwahiyo hata mtu akiumba gari yeye ni mungu wa hilo gari.. Hivyo kama gari limeumbwa na mtu, kadhalika kuna…

USIPOLITENDEA KAZI NENO LA MUNGU.

Luka 12:47b“………Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na Zaidi”. Kila siku tunapolisikia Neno la Mungu tujue kabisa tunajiongezea deni mbele…

UNATAKA KUBARIKIWA? BASI USIKWEPE GHARAMA ZAKE.

Ukiona Mungu kakuahidi mambo mazuri huko mbeleni, fahamu kuwa kuna uwezekano wa kupitia mabaya kabla ya hayo mazuri kuja…Na ukiona Mungu kakuahidia kuwa atakufunika na kukulinda na kukuokoa ujue kuwa…