DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kwanini, tuimbe, je! kuna ulazima wowote wa kufanya hivyo?

SWALI: Bwana Yesu asifiwe wingu la mashahidi. Nmekutana na swali naomba upana wa somo hili. Kwa nini tunaimba na kuna sura nyingi zinasisitiza kuimba mfano Luka 19 :37-38 na vitabu…

Je! mbinguni kuna malaika wa kike?. Na je! tukifika mbinguni tutafanana wote?

JIBU: Neno jinsia kwa mara ya kwanza limeonekana kwa wanadamu, Pale Mungu alipomtoa Hawa ubavuni mwa Adamu na kumwita jina lake mwanamke, hapo ndipo jinsia mbili zilipozaliwa yani ya kike na…

Yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake.

SWALI: Mstari huu una maana gani? “yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake, yuko na mtu mwovu azidishaye maisha yake katika udhalimu wake.(Mhu 7:15)” JIBU: Shalom,Tukianza na mstari wa 15…

Je kunena kwa Lugha mpya kukoje?

Swali: Je hizi lugha ni zipi, na je! ni lazima kila mkristo aliyepokea Roho Mtakatifu anene kwa lugha mpya JIBU: Hili ni moja ya jambo linalowachanganya wengi sana, Na nilinichanganya hata…

Kwanini Bwana Yesu alisema pale msalabani naona kiu?

JIBU: Kulikuwa na sababu kuu mbili kwanini Bwana Yesu kuzungumza maneno yale, Sababu ya kwanza ilikuwa ni ili kutimiza maandiko kama Yohana alivyoandika katika Injili yake. Yohana 19:28 “Baada ya…

Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa MUDA wa miaka 3 na nusu.(Yakobo5:17) Je! kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani?

JIBU: Tusome: Yakobo 5:17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita.18 Akaomba…

Biblia inaposema”Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi(Mdo 10:15)”. Je kauli hii inatupa uhalali wa kula kila kitu?

JIBU: Kauli hiyo ilitoka kwa Mungu mara baada ya Petro kupewa maono yale ya lile shuka kubwa lililoshuka kutoka mbinguni likiwa limebeba viumbe vya kila aina najisi na safi akaambiwa…

Bwana alimaanisha nini kusema JIKANE mwenyewe?(Mathayo 6:24)

JIBU: Neno kujikana linamaana kuwa, ‘kukataa matamanio yako binafsi au malengo yako kwa sababu fulani’. Hivyo kujikana kunakozungumziwa katika biblia ni kujikana kwa Kristo. Hii ikiwa na maana kuwa unapoamua kumfuata…

Je! “majira na sheria” mpinga-kristo atakayokuja kubalisha ni kupindua siku ya sabato na kuwa jumapili?

SWALI: Nina swali kuhusu alama ya mnyama, kulingana na baadhi ya injili zinazohubiriwa ni kuwa ..alama ya mnyama itapimwa kwa siku ya kuabudu, yani wale watakaokubali kusali jumapili wote watakuwa…

Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

SWALI: Biblia inaposema "Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. (Mathayo 5:3)”je hatuna ruhusa ya kuwa matajiri katika roho?. JIBU: Maskini ni mtu ambaye yupo katika hali…