Luka 8: 30 “Yesu akamwuliza, Jina lako nani? Akasema, Jina langu ni Jeshi; kwa sababu pepo wengi wamemwingia. 31 Wakamsihi asiwaamuru WATOKE KWENDA SHIMONI. 32 Basi, hapo palikuwa na kundi…
2 Wakorintho 6:14 “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, KWA JINSI ISIVYO SAWASAWA; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na…
Mathayo 10:16 “Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.” Sentensi hiyo imekuwa ikiwatatiza wengi, wakijiuliza ni kwanini…
Dhambi ipo moja tu! nayo ni kutomwamini BWANA YESU KRISTO, hayo mengine ni matokeo ya dhambi, uwizi, usengenyaji, rushwa, uasherati, utukanaji, uuaji n.k si dhambi bali ni matokeo ya dhambi…
Kuja kwa Bwana duniani kulikuwa kwa kitofauti sana, wakati ambapo Israeli ilimtazamia aje kipindi ambacho uzao wa Daudi unaonekana wazi kwa wafalme waliokuwa wanatawala Yuda zamani za wafalme. Lakini yeye…
Luka 10:22 “Akasema, NIMEKABIDHIWA VYOTE NA BABA YANGU, wala hakuna amjuaye Mwana ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.” Yohana 13:3 “Yesu,…
Isaya 28:13 “Kwa sababu hiyo neno la Bwana kwao litakuwa hivi, amri juu ya amri, amri juu ya amri; kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; huku kidogo na…
Zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa ninasikia Yesu ni mponyaji! Yesu ni mponyaji! Lakini sikuwahi kufikiria kama angeweza kuja kuniponya mtu kama mimi. Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2004, siku moja nilipokaa na…
Biblia inasema katika Waefeso 4: 13 “hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani NA KUMFAHAMU SANA MWANA WA MUNGU, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo…