DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MADHIHIRISHO MATATU YA MUNGU.

Mungu amejifunua katika Ofisi kuu 3, (Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Lakini katika dhihirisho zote hizi tatu (3) Mungu anabaki kuwa mmoja na si watatu. Sasa swali ni je kama…

SADAKA INAHARIBU NGUVU ZA MADHABAHU ZA MASHETANI.

(Masomo maalumu yahusuyo matoleo  na sadaka). Karibu tujifunze bible, Neno la Mungu wetu lililo mwanga wa Njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu (Zab. 119:105). Kuna umuhimu mkubwa sana wa…

MANABII WA BIBLIA (Wanaume)

Manabii Wanaume katika biblia walikuwa wengi kiidadi kuliko manabii wanawake. UFUATAO NI UFUPISHO KWA NJIA YA JEDWALI: Kutazama Jadwali zima, basi Slide kuelekea upande wa kushoto. Mbali na hawa walioorodheshwa…

MAJINA YA MANABII WANAWAKE

Orodha ya Manabii wa kike katika biblia. Jumla ya Manabii wa kike (wanawake) waliotajwa katika biblia ni 11, Kati ya hao manabii Tisa (9) walikuwa wa KWELI na Wawili (2)…

Maana ya Mithali 11:17 Mwenye rehema huitendea mema nafsi yake

Nini maana ya Mithali 11:17 inaposema; Mwenye rehema huitendea mema nafsi yake; Aliye mkali hujisumbua mwili wake. JIBU: Mwenye rehema ni mtu wa huruma, mwenye kusamehe, mwenye kuachilia hata kama…

Fahamu Mithali 20:11 Hata mtoto hujijulisha kwa matendo yake;

SWALI: Nini maana ya Mithali 20:11 inaposema; Hata mtoto hujijulisha kwa matendo yake; Kwamba kazi yake ni safi, kwamba ni adili. JIBU:  Mwandishi anatuonyesha kuwa tabia ya mwanadamu yoyote, huwa…

MAJINA YA MITUME WA BWANA YESU

Mitume wa BWANA YESU walikuwa 12, ambapo baadaye walisalia 11 baada ya YUDA ISKARIOTE, aliyemsaliti BWANA kufa kwa kujinyonga!.. Nafasi yake ilichukuliwa na MATHIYA, na hivyo kukamilisha idadi ya Mitume…

WAFALME WALIOTAWALA ISRAELI.

Wafalme waliotawala ISRAELI, ukiwatoa wale watatu wa Mwanzo (Yaani Sauli, Daudi na Sulemani) walikuwa ni Wafalme 19 tu, na hakukuwa na Malkia aliyetawala Israeli kama ilivyokuwa kwa YUDA. Kati ya…

WAFALME NA MALKIA WALIOTAWALA YUDA

Wafalme waliotawala YUDA ni 19, na Malkia aliyetawala YUDA ni Mmoja (1), hivyo kufanya jumla ya Watawala 20 kupita katika Taifa la Yuda. Kati ya hao Wafalme 19; waliofanya MEMA ni…

Ni kwa namna gani, haki yetu inapaswa izidi ya mafarisayo?

Bwana alimaanisha nini katika Mathayo 5:20 aliposema.. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.  Ni haki ipi hiyo.…