Mhubiri 10:20 Usimlaani mfalme, la, hata katika wazo lako; Wala usiwalaani wakwasi chumbani mwako; Kwa kuwa ndege wa anga ataichukua sauti, Na mwenye mabawa ataitoa habari JIBU: Ni vema kutambua…
SWALI: Naomba kufahamu maana ya hili andiko; Mithali 9:13 “Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu”. JIBU: Kupiga kilele kunakozungumziwa hapo ni zaidi ya ile ya ‘kupaza sauti ya…
Ni kwa namna gani baraka ya Bwana haichanganyi na huzuni, nyuma yake? Mithali 10:22 “Baraka ya Bwana hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo” JIBU: Kwanza ni vema kufahamu hapo anaposema ‘Baraka…
Swali: Maandiko yanasema “Haki huinua Taifa”.. Je hii imekaaje kiundani zaidi? Jibu: Tusome, Mithali 14:34 “HAKI HUINUA TAIFA; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote”. Kwa tafsiri ya kawaida…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 14:23 “Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu” JIBU: Kitabu cha Mithali na Mhubiri ni vitabu vilivyobeba mafunzo…
Isaya 46:3 “Nisikilizeni, enyi wa nyumba ya Yakobo, ninyi mlio mabaki ya nyumba ya Israeli, mliochukuliwa nami tangu tumboni, mlioinuliwa tangu mimbani; 4 na hata uzee wenu mimi ndiye, na…
Ayubu 20:4 Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, 5 Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu…
Ayubu 5:6 “Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi;” Watu wengi tumekuwa tukilaumu mazingira, tukilaumu wanyama, tukilaumu ardhi, na vitu vingine vya asili kuwa ndio chanzo cha matatizo…
SWALI: Mhubiri anaposema mwanamume mmoja katika elfu nimemwona bali mwanamke mmoja miongoni mwa wote mimi sikumwona, anamaana gani,? JIBU: Tusome, Mhubiri 7:27 Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha…
(Masomo yahusuyo malaika na uwezo wao) Swali: Je watu wa Mungu wanaweza kuwaamuru Malaika watende jambo Fulani au watoke na kwenda mahali Fulani kama vile mapepo yanavyoamrishwa kwa jina la…