DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Wakolosai 3:5 inamaana gani?

SWALI: Wakolosai 3:5 inamaana gani?. Tofauti kati ya tamaa mbaya na kutamani ni ipi? JIBU: Wakolosai 3:5 Inasema..   “Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya,…

Birika walilooga Makahaba lilikuwaje?

Swali: Katika kifo cha Ahabu, biblia inasema alikufa na gari lake likaenda kuoshwa katika birika ambalo wanaoga Makahaba, (1Wafalme 22:38)..hili birika walilokuwa wanaoga makahaba lilikuwaje? Jibu: Turejee. 1Wafalme 22:37 “Hivyo…

Chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu ndio kipi? (Matendo 21:25).

Jibu: Turejee, Matendo 21:25 “Lakini kwa habari za watu wa Mataifa walioamini, tuliandika na kutoa hukumu yetu ya wao kujilinda nafsi zao na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu,…

NIFANYE NINI ILI NIKUBALIWE NA YESU?

Boazi na Ruthu. Atukuzwe Yesu Kristo Bwana wetu  na mwokozi wetu, Nakukaribisha tuzidi kuzitafakari siri za ufalme wa mbinguni. Awali ya yote tukumbuke kuwa mahusiano ambayo Yesu anayatengeneza kwa kila…

KUWA MAKINI, HATUA ZA UNYAKUO ZINAENDELEA.

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuzidi kuyatafakari maneno ya uzima. Je! Unahabari kuwa watakaonyakuliwa wameshaanza kuandaliwa?  Je! Wewe upo katika hatua ipi? Biblia inasema zipo hatua…

JE UMEKUFA PAMOJA NA NANI?

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Warumi 6:8  “Lakini tukiwa TULIKUFA PAMOJA NA KRISTO, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye” Kabla ya kujitathmini…

MWANAMKE ABIGAILI ANAFUNZO GANI KWA WANAWAKE?

Abigaili. Huu ni mwendelezo wa mafundisho maalumu yahusuyo wanawake. Na Leo tutaisikia sauti ya Mungu iliyokuwa nyuma maisha ya huyu mama aliyeitwa Abigaili. Abigaili ni mwanamke aliyeolewa na mwanaume ambaye…

Tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu.

SWALI: Kwanini wayahudi walimwambia Yesu kuwa hawajawahi kuwa watumwa wa mtu yeyote angali tunajua kuwa walishawahi kuwa watumwa kule Misri kwa miaka 400? JIBU: Tusome; Yohana 8:31  “Basi Yesu akawaambia…

Nyongeza ya majina ya watu katika biblia

Tunaona kuna baadhi ya watu ambao majina yao yameongezwa vionjo kwa mbele, kwa mfano Simoni Petro, Yuda Iskariote, Tomaso pacha, Simoni mkananayo, Yohana Mbatizaji n.k Watu hawa ambao majina yao…

WAPENDENI ADUI ZENU, WAOMBEENI WANAOWAUDHI.

Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi