Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana libarikiwe… Karibu tuyatafakari maandiko pamoja. Katika dunia hii ya siku za mwisho, ni watu wengi…
Shalom, jina la Bwana libarikiwe. Ni vema tukajifunza tabia kadha wa kadha za Mungu, ili na sisi tuziige hizo tuwe wakamilifu kama yeye. Leo tutajifunza tabia mojawapo ya Mungu, ambayo…
MAFUNDISHO MAALUMU KWA WANAWAKE. Kuwa mwombolezaji: Yeremia 9:20 “Lakini lisikieni neno la Bwana, enyi wanawake, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu kuomboleza, Na kila mmoja…
Luka 23:34 “Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo. Wakagawa mavazi yake, wakipiga kura” Je umeshawahi kumwombea msamaha mtu aliyekufanyia ubaya?. Wengi wetu huwa tunaweza kusamehe tu, lakini tukaishia…
Ayubu 23:12 “ Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu”, Huyu ni Ayubu, …si ajabu kwanini Mungu alimwona ni mtu mkamilifu aliyemcha…
JIBU: ‘Bila kazi ya mikono’ maana yake ni kuwa pasipo kisaidizi chochote cha kibinadamu, kwamfano neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Danieli 2:34 “Nawe ukatazama hata jiwe likachongwa bila kazi…
SWALI: Inakuwaje tunaambiwa mambo mengine tunajaliwa? Na si kwa jitihada zetu, kujaliwa ni nini kibiblia? JIBU: Kujaliwa maana yake ni kuwezeshwa kufanya jambo ambalo wewe kwa nguvu zako kamwe huwezi…
Je Sipora, mke wa Musa alikuwa Mkushi mwenye ngozi nyeusi?, Kulingana na Hesabu 12:1? Na ni kwanini Miriamu na Haruni wamkasirikie Musa kwa kumwoa mwanamke Mkushi?, na kama alikuwa Mkushi…
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAENEO YA IBADA: Sehemu ya 2 EPUKA KUCHELEWA IBADA. Jambo la kuchelewa ibada sio tu linamvunjia Mungu heshima yake, lakini pia linaweza kukupelekea mauti. Utajiuliza hili…
Kumbukumbu 18:10 “Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, WALA MTU ATAZAMAYE NYAKATI MBAYA, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,11 wala mtu…