Swali: Kwenye Mathayo 20:20-25 Mke wa Zebedayo anamwendea YESU na wanawe akimuomba wakae pande zote za YESU na awape mamlaka alizonazo ila YESU akamwambia hana amri juu ya jambo hilo…
Swali: Kuna uhusiano gani kati ya aina ya maisha anayoishi mtu na ile siku aliyozaliwa?.. Kwanini Ayubu anailaani ile siku aliyozaliwa na ule usiku ilipotungwa mimba? (Ayubu 3:1-6). Jibu: Turejee..…
Wana kumi na mbili wa Yakobo ndio waliozaa makabila 12 ya Israeli. Majina yao ni kama yafuatavyo; Reubeni Simeoni Lawi Yuda Dani Natali Gadi Asheri Isakari Zabuloni Yusufu (Manase &…
Swali: Maana ya kujihudhurisha mbele za MUNGU kulingana na Ayubu 2:1 ndio kufanyaje?. Jibu: Turejee… Ayubu 2:1 “Tena kulikuwa na siku hao wana wa Mungu walipokwenda KUJIHUDHURISHA mbele za BWANA,…
Swali: Biblia imeandikwa na watu, (kama Paulo, Petro, Musa, Daudi na wengineo) je tutaamini vipi kitu kilichoandikwa na wanadamu kuwa ni kweli,? vipi kama wametoa tu kwenye akili zao, kwanini…
Jibu: Mpaka kufikia mwaka 2024 biblia imetafsiriwa kwa lugha 756, hivyo kuna tafsiri Zaidi ya 756 mpaka sasa duniani kote. Sasa kwa asili biblia iliandikwa kwa lugha kuu tatu, ambazo…
SWALI: Naomba kufahamu Biblia unapozungumzia kuhusu kupewa jina jipya inamaanisha nini? JIBU: Kazi ya jina sio tu kumtambulisha au kumtofautisha mtu mmoja na mwingine. Bali jina linasimama pia kueleza Wasifa…
SWALI: Je mtu anaweza akawa hajaokoka akaombea mtu na Pepo likamtoka, na pia mtu anaweza akawa ameokoka akaombea mtu na pepo lisitoke ? JIBU: Kuhusu swali la kwanza linalosema je…
Swali: Maana ya Madhali ni nini kama ilivyotumika hapo katika Zaburi 21:11 Jibu: Turejee… Zaburi 21:11 “Madhali walinuia kukutenda mabaya, Waliwaza hila wasipate kuitimiza”. Neno “Madhali” limeonekana mara moja tu…
Swali: Tunasoma Simeoni alipomwona mtoto YESU, Alikiri kuuona Wokovu wa MUNGU, sasa swali ni Wokovu gani huo alioupata? Jibu: Tuanzie ule mstari wa 25 ili tuweze kuelewa vyema… Luka 2:25…