Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Wakolosai 2:14 “akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani;…
Mshipi ni nini? na Ule mshipi wa dhahabu matitini ni nini?, na je! Yule Yohana aliyemwona ni mwanamke?, kama sio kwanini pametaja matiti?. Jibu: Tusome, Ufunuo 1:13 “na katikati ya…
SWALI: Naomba kufahamu maombolezo ya Hadadrimoni tunayoyasoma katika Zekaria 12:11 ni maombolezo gani hayo? Zekaria 12:11 “Siku hiyo kutakuwa na maombolezo makuu huko Yerusalemu, kama maombolezo ya Hadadrimoni katika bonde…
Neno “Uru” kama lilivyo katika Mwanzo 11:28, lina maana gani?. Jibu: Tusome, Mwanzo 11:28 “Harani akafa kabla ya baba yake Tera katika nchi aliyozaliwa, yaani, katika URU wa Wakaldayo. 29…
Je Mungu huwa anadhihaki watu kulingana na Mithali 1:26 na Zaburi 59:8?. Jibu ni ndio!!..Mungu anadhihaki!!.. na sio tu kudhihaki, bali pia anafadhaisha, na vilevile anahuzunisha watu.. Lakini lengo la…
SWALI: Shalom... Pastor naomba kuuliza je ni sahihi mtumishi kuongoza kanisa hajafunga ndoa? na anaweza kubatiza washirika? Amina. JIBU: Kigezo cha mtu kuwa Kiongozi wa kanisa, na kufanya kazi zote…
Wayebusi walikuwa ni “wana wa Kaanani”. Kujua Wakaana walikuwa ni watu gani unaweza kufungua hapa >> Wakaanani. Lakini Watoto wa Kaanani ndio walikuwa hawa “Wayebusi”. Hivyo Wayebusi hawakuwa kabila kubwa,…
JIHUDHURISHE, ILI AANZISHE MAZUNGUMZO NA WEWE
Wakaanani walikuwa ni watu wanaoishi katika nchi ya Kaanani. Kumbuka Kaanani alikuwa ni mtu, ambaye tunamsoma katika Mwanzo 9:18, kuwa alikuwa ni mwana wa Hamu, ambaye aliuona utupi wa baba…
Swali: Tunasoma katika Marko 15:17,na Yohana 19:2 kuwa Bwana alivikwa Vazi la rangi ya Zambarau, lakini tukirudi kwenye Mathayo 27:28 tunaona ni vazi Jekundu, Sasa vazi lipi ni sahihi hapo?.…