Tunaishi katika ulimwengu ambao, ukisimama tu kuhubiri, au kukemea dhambi, moja kwa moja utaambiwa UNAHUKUMU, Ukimweleza mtu madhara ya dhambi ya uzinzi kuwa mwisho wake, ni motoni, atakuambia, wewe ni…
“Nikolai” ni neno la kigiriki lenye maana ya “Kuteka madhabahu”. Katika kanisa la kwanza kulikuwa na kundi dogo la watu lililonyanyuka, ambalo lilikuwa linateka madhabahu. Na kuteka madhabahu kunakozungumziwa sio…
Tusome, 1 Yohana 2:16 “Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. 17 Na dunia…
Kama jina lake lilivyo “Maji ya Farakano”...maana yake ni maji yanayoondoa mafarakano. Mtu yeyote katika Israeli ambaye alikuwa amejitia unajisi kwa kugusa maiti ya mtu, alikuwa amejifarakanisha na Mungu, hivyo…
Ni wapi katika biblia panaonyesha kuwa suruali ni vazi la kiume tu? Na vipi juu ya kanzu!, mbona kama ni mfano wa gauni lakini linavaliwa na wanaume, kwanini Suruali isivaliwe…
Kibiblia mzushi ni mtu anayezusha jambo au mada ambazo lengo lake ni kuleta MIGAWANYIKO!. Mtu anayezuka katikati ya kanisa na kuzusha mada ambazo anajua kabisa zitaishia kuleta migawanyiko ndani ya…
Hizi ni baadhi ya njia zitakazokusaidia kuuharibu ujana wako kwa wepesi. Pendelea makundi yasiyojenga. Wahuni ni ndio wawe marafiki zako, wazinzi ndio wawe kampani yako, walevi ndio wawe watu wa…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, Leo tutajifunza jinsi ya kuuvuta uwepo wa Roho Mtakatifu karibu nasi. Yapo mambo makuu matatu yanayovuta uwepo wa Mungu karibu nasi.…