SWALI: Biblia inapowataja ‘waibao watu ‘ sawasawa na 1Timotheo 1:10 humaanisha nini? JIBU: Tusome; 1 Timotheo 1:8-10 Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo…
Jibu: Tureje.. Luka 7:37 “Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya MARIMARI yenye…
SWALI: Je udhaifu ni jambo la kulikubali? Kama tunavyoona mtume Paulo akiusifia katika; 2 Wakorintho 12:9-10 Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu…
Swali: Katika Mhubiri 9:16, neno la Mungu linasema kuwa hekima ya maskini haisikilizwi, je na sisi tunapaswa tusizisikilize hekima/mashauri ya watu wasio na kitu, ili kujinusuru..au andiko lina maana gani?…
Swali: Katika Isaya 53:13 tunausoma unabii wa Masihi (yaani YESU), Kwamba atakuja kugawiwa sehemu pamoja na wakuu...je! hawa wakuu ni akina nani atakaokuja kugawiwa nao sehemu?...na nini kinagawiwa hapo? Jibu:…
SWALI: Je, mstari huu tunaousoma kwenye Mhubiri 10:15 una maana gani? Mhubiri 10:15 Kazi yao wapumbavu huwachosha kila mmoja, Maana hajui hata njia ya kuuendea mji. JIBU: Kwa namna ya kawaida…
Jibu: Turejee.. 1Wakorintho 2:2 “Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa” Haya ni maneno ya Mtume Paulo aliyowaambia watu wa kanisa la Korintho… sasa tunaweza…
Ndoa za wake wengi ni za ibilisi!..ndoa za wake wengi ni za ibilisi!!... ndoa za wake wengi ni za ibilisi!!!. Hali kadhalika ndoa za waume wengi ni za ibilisi, kama…
Wapo wanaodhani kuwa malaika wanao uwezo wa kuzaliana sawasawa na habari ya wana wa Mungu na binti za wanadamu inayozungumzwa katika kitabu cha Mwanzo. Mwanzo 6:1-3, Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi…
Jina la BWANA wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu ambalo ni Taa na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Hebu tuangalie uzito wa kuzaliwa mara ya…