Nakusalimu katika jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo, ambaye yeye peke yake ndiye Mungu, aliyeshuka katika mwili wa kibinadamu kutukomboa sisi. Yapo mambo ambayo hatuwezi kudhania kama Bwana…
JIBU: Tusome, Mithali 10:10 “Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka”. Kukonyeza ni ishara inayojulikana kama ya undanganyifu au ya kupoteza uaminifu. Ni jambo la kawaida…
SWALI: tukisoma 2Mambo ya Nyakati 22:2.Inasema Hivi.. “Ahazia alikuwa na umri wa miaka AROBAINI NA MIWILI ALIPOANZA KUTAWALA; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti…
JIBU: Tusome, Yeremia 31:22 “Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume”. Katika biblia hususani agano la kale utaona sehemu nyingi,…
Shubaka ni dirisha, lililojengwa kwa kupishanisha vipande vya mbao au chuma au kitu kingine chochote, kama pazia, katikati ya dirisha hilo. Tazama picha. Ujenzi wa madirisha mengi ya kisasa, Haupo…
SWALI: Naomba kuuliza watumishi wa Mungu katika Mwanzo 17:20 anaposema kwa habari ya Ishmaeli atazaa maseyidi 12, hao ndio akina nani kwa Sasa? 2) Pia katika 1samweli 3:3 anasema kipindi…
SWALI: Biblia inamaanisha nini iliposema “wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa;? JIBU: Tusome vifungu vyenyewe.. 2Petro 2:12 “Lakini hao kama wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa kama wanyama…
Isaya 10:22 “Maana watu wako, Ee Israeli, wajapokuwa wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki tu watakaorudi; kuangamiza kumekusudiwa, kunakofurika kwa haki”. Wana wa Israeli walidhani, kuchukuliwa tena utumwani na…
SWALI: Tukisoma Mathayo 5:19 Inasema.. “Basi mtu ye yote atakayevunja AMRI MOJA katika hizi ZILIZO NDOGO, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu ATAKAYEZITENDA…
Shalom, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima, biblia inatuambia.. Mithali 16:31 “KICHWA CHENYE MVI NI TAJI YA UTUKUFU, Kama kikionekana katika njia ya haki”. Wengi wetu tunatafuta wokovu ili tu…