DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mfalme Ahazia alianza kutawala akiwa na umri gani?

SWALI: tukisoma  2Mambo ya Nyakati 22:2.Inasema Hivi.. “Ahazia alikuwa na umri wa miaka AROBAINI NA MIWILI ALIPOANZA KUTAWALA; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti…

Biblia ilimaanisha nini iliposema “Mwanamke atamlinda mwanamume” Yeremia 31:22?

JIBU: Tusome, Yeremia 31:22 “Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume”. Katika biblia hususani agano la kale utaona sehemu nyingi,…

Shubaka ni nini kibiblia? (Mithali 7:6)

Shubaka ni dirisha, lililojengwa kwa kupishanisha vipande vya mbao au chuma au kitu kingine chochote, kama pazia, katikati ya dirisha hilo. Tazama picha. Ujenzi wa madirisha mengi ya kisasa, Haupo…

Maseyidi 12 wa Ishmaeli, ni wakina nani?.2)Taa ya Mungu ambayo ilikuwa haijazima wakati wa Eli ni ipi?

SWALI: Naomba kuuliza watumishi wa Mungu katika Mwanzo 17:20 anaposema kwa habari ya Ishmaeli atazaa maseyidi 12, hao ndio akina nani kwa Sasa? 2) Pia katika 1samweli 3:3 anasema kipindi…

Wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa.

SWALI: Biblia inamaanisha nini iliposema “wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa;? JIBU: Tusome vifungu vyenyewe.. 2Petro 2:12 “Lakini hao kama wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa kama wanyama…

KURUDI ISRAELI KWASASA NI KUGUMU, SIO KAMA KULE MWANZONI.

Isaya 10:22 “Maana watu wako, Ee Israeli, wajapokuwa wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki tu watakaorudi; kuangamiza kumekusudiwa, kunakofurika kwa haki”. Wana wa Israeli walidhani, kuchukuliwa tena utumwani na…

Amri zilizo ndogo alizozizungumzia Yesu ni zipi?

SWALI: Tukisoma  Mathayo 5:19 Inasema.. “Basi mtu ye yote atakayevunja AMRI MOJA katika hizi ZILIZO NDOGO, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu ATAKAYEZITENDA…

TUTAMKARIBIA MUNGU KWA IDADI YA MVI ZETU ROHONI.

Shalom, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima, biblia inatuambia.. Mithali 16:31 “KICHWA CHENYE MVI NI TAJI YA UTUKUFU, Kama kikionekana katika njia ya haki”. Wengi wetu tunatafuta wokovu ili tu…

Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari?”

SWALI : Shalom .. Tukisoma Mathayo 5:43-45 Inazungumzia juu ya mtu ili awe mkamilifu hana budi kumjali mwingine hata kama Anatukosea,kwamba sisi tumeambiwa tuwaombee tuwapende N.K..Sasa tukisoma tena Mathayo 18:6..Inasema…

Nini maana ya kuruzuku katika biblia?

Maana ya Neno “kuruzuku” ni “kutoa Riziki”. Unapompa mtu mwingine riziki hapo umemruzuku. Katika biblia tunaona neno hilo limetokea mara kadhaa Mungu akiwaruzuku watu. Katika kitabu cha Nehemia tunaona Neno…