Ukoma enzi za biblia ni ugonjwa uliojulikana kama pigo kuu kutoka kwa Mungu, kutokana na dhambi ambazo mtu alizozitenda. Mtu aliyegundulika kuwa ana ukoma ilikuwa anatengwa na jamii nzima ya…
Zamani enzi za biblia Njia kuu ya mfalme, ilikuwa ni njia iliyotengenezwa mahususi kuunganisha mataifa mengi na miji mingi, na lengo lilikuwa ni kurahisisha shughuli za kibiashara na usafirishaji katikati…
Neno hili linatwa mara nyingi sana katika biblia, sana sana mahali ambavyo vinatajwa vizazi vya wana wa Israeli. Mbari, kwa jina lingine ni UKOO. Kwamfano unaweza kukutana na sehemu fulani…
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, ambalo ndio cha kweli cha roho zetu. Kawaida ya Mungu ni huwa hatoi agizo juu ya agizo. Yaani kwa mfano leo akikupa agizo fulani…
SWALI: Biblia inamaanisha nini inaposema “mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili”?(Yuda 1:23) JIBU: Maneno hayo utayasoma katika vifungu hivi; Yuda 1:22 “Wahurumieni wengine walio na shaka, 23 na wengine…
Jibu: Tusome. Danieli 9:21 “naam, nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtu yule, Gabrieli, niliyemwona katika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, alinigusa panapo wakati wa dhabihu ya jioni”. Kurushwa upesi kunakozungumziwa hapo…
Leo tutajifunza jinsi gani matatizo yetu yanavyoweza kuweza kutupofusha hata tusiione miujiza yetu. Kuna wakati Mungu, anakuwa ameshakwisha anza tayari kututendea miujiza, lakini kutokana na kuwa tunayapa sana matatizo yetu…
Shalom,let us study the Word. One thing in life we should never forget is the act of giving to God.Every one who is borne of God,whether a teacher,a prophet,a pastor…
Shalom, Kuna kipindi mitume walimpelekea Bwana hitaji hili; Luka 17:5 “… Tuongezee imani”. Kwao pengine hili lilikuwa ni hitaji jepesi sana , lakini kwa upande wa Bwana halikuwa ombi la…
Jibu: Sadaka ya kuinuliwa ni sadaka ambayo mtu anaiinua mbele za Mungu. Na ni sehemu ya sadaka iliyo ya heshima kuliko nyingine yoyote ile. Kwamfano mtu anaweza kutoa sadaka ya…