Baradhuli ni nani/ ni nini kama lilivyotumika kwenye biblia? Kibiblia Baradhuli ni mtu asiyefaa, mpumbavu sana, aliyevuka mipaka Ipo mistari kadha wa kadha inayoeleza tabia za watu wabaradhuli. Kwa mfano:…
Areopago ni nini? Areopago ni baraza kuu la Waathene au mahali walipokutanika wakuu wa Athene. Kwa ajili ya kuzungumza mambo mbalimbali ya muhimu,kama vile kusikiliza kesi zinazohusiana na mauaji au…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..Ni neema Bwana katujalia kuliona jua tena siku ya leo, karibu tuyatafakari maandiko Pamoja.. Kama tunavyojua tunaishi katika siku za mwisho, na kila dakika…
SWALI: Ibada ni nini, Na je ili ibada ikamilike inapaswa iwe na nini na nini? Na je ni siku gani maalumu ya kufanya ibada? Ibada ni kitendo chochote kifanywacho kuonyesha…
SWALI: Nini maana ya huu mstari.. Mhubiri 7:10 “Usiseme, Kwani siku za kale kupita siku hizi? Maana si kwa hekima uulizavyo neno hilo? " JIBU: Mstari huo kwa lugha ya…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima, karibu tujifunze biblia. Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo.. Je! Una uhakika wa mambo yatakayokuja ambayo bado hujayaona wala kuyafikia?..Na…
Shalom, kila mahali biblia inatuasa juu ya kujiweka tayari, wakristo wengi tunadhani wokovu ni suala la kuotea tu kwamba nitaokoka au tutaokoka siku yoyote, au baada ya kuokoka leo basi…
Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Ni neema za Mungu tumeiona siku nyingine, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko, ambayo ndio chakula cha roho zetu. Watu wengi tumekuwa tukitafuta msaada kutoka…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tujifunze Maneno ya uzima. Siku zote tunavyolijua Neno la Mungu ndivyo tunavyozidi kuwa na amani na ujasiri zaidi wa kusonga mbele…
JIBU: Nyamafu ni nyama ya mnyama aliyekufa (kibudu) bila kuuliwa kwa asili (yaani kuchinjwa). Mungu aliwakataza wana wa Israeli katika agano la kale wasile nyama ya mnyama yoyote aliyekufa bila…