Neno Kristo, na Masihi ni kitu kimoja, isipokuwa kwa lugha ya Kiebrania linatamkwa kama Masihi, lakini kwa lugha ya kigiriki linatamkwa kama Kristo. Yohana 1:41 “Huyo akamwona kwanza Simoni, ndugu…
Kuwa mwaminifu kwa maneno yako mwenyewe, ni muhimu sana!. Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Mwinjilisti mmoja alichukuliwa katika maono mbinguni akakutana na Bwana Yesu, alionyeshwa mambo…
Blessed be the name of our Lord Jesus Christ, Today we will learn very briefly about paying tithes, Scripturally tithes are the 10th part, of one's income to God. So…
Kwanini Amelaaniwa aangikwaye msalabani? Kutundikwa msalaba au kwa jina lingine kutundikwa mtini, ilikuwa ni adhabu iliyotekelezwa kwa watu wenye makosa ya hali ya juu sana. Adhabu hii ilikuwa sio tu…
Je! Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi? Jumla ya wana wa Ibrahimu walikuwa ni nane (8). Kulingana na Biblia. Mwana wa kwanza alikuwa ni Ishmaeli, ambaye alizaliwa na…
Watoto wa Yese katika biblia walikuwa ni wangapi? Kitabu cha Samweli kinaonyesha Yese alikuwa na wana nane(8), Daudi akiwa ndio mwana wa mwisho kabisa, Lakini kitabu cha Mambo ya Nyakati…
NAMWANDAMA BWANA Lyrics~ Swahili?| Trust and Obey Nyimbo hii iliandwa mwaka 1887, na Mchungaji mmoja aliyeitwa John H Sammis, (Mmarekani), ambaye alifanikiwa pia kuandika nyimbo nyingine Zaidi ya 100 zenye…
Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Natumai u mzima, karibu tujifunze Maneno ya Uzima kama ilivyo wajibu wetu, maadamu siku ile inakaribia. Leo tutatazama kwa ufupi juu ya…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja. Katika maisha, hakikisha unarekebisha vitu vinne. 1) Kazi unayoifanya 2) Kabila unalotoka 3) Nchi unayotoka 4) Mahali unapotoka. Haya…
SWALI: ‘Siku ya uovu’ inayozungumziwa katika Waefeso 6:13 Ni ipi? Waefeso 6:13 “Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote,…