SWALI: ‘Siku ya uovu’ inayozungumziwa katika Waefeso 6:13 Ni ipi? Waefeso 6:13 “Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote,…
Yakobo alikuwa na watoto wangapi? Yakobo, mjukuu wa Ibrahimu, alipewa neema na Mungu ya kuwa na Watoto 13, Kati ya hao 12 ni wa kiume na 1 wa kike aliyejulikana…
Kuota unaolewa/ unaoa kunamaanisha nini? Zipo ndoto zenye maana katika Maisha yetu, na pia zipo ndoto zisizo na maana yoyote katika Maisha yetu,. Hizi zisizo na maana ni ndoto ambazo,…
Shalom, mtu wa Mungu..karibu tujifunze Biblia… Katika kisiwa cha Patmo, Bwana Yesu alimtokea Yohana alipokuwa ametelekezwa kule na kumwambia maneno mengi sana kama tunavyoyasoma katika kitabu cha Ufunuo. Na moja…
Mwezi wa Abibu ni upi? Huu ni mwezi wa kwanza kwa kalenda ya Kiyahudi. Ambao kwa kalenda yetu hii ya ki-gregory unaangukia katikati ya mwezi Machi, na Aprili, kutegemeana na…
SWALI: Nimrodi ni nani? Na je! Alikuwa ni mtumishi wa Mungu? Nimrodi ni kitukuu cha Nuhu kwa kupitia uzao wa Hamu, Biblia inatuambia alianza kuwa mtu Hodari, na sio Hodari…
Je! Unazijua faida za kufunga na kuomba? Embu isome Habari ifuatayo kwa makini; Mathayo 17:18 “Yesu akamkemea pepo, naye akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile. 19 Kisha wale wanafunzi…
Swali: Sabato tatu ni nini? Kama tunavyosoma katika Matendo 17:2 Jibu: Tusome, Matendo 17:1 “Wakiisha kupita kati ya Amfipoli na Apolonia wakafika Thesalonike, ambapo palikuwa na sinagogi la Wayahudi. 2…
Karibu tujikumbushe mambo machache, ambayo yanaonekana ni madogo lakini ni ya umuhimu sana, katika mapambano ya Imani. Kuna tofauti ya sadaka na msaada. Unapomsaidia maskini huo ni msaada, na una…
Kuota unalia kwa uchungu/Ukiota unalia maana yake ni nini kibiblia?. Zipo ndoto zenye maana, na pia zipo ndoto zisizo na maana yoyote katika maisha ya mtu, hizi za pili ni…