Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. kwa link hii >>https://chat.whatsapp.com/LO2BncRILtiAlnRYfZWG2V Masomo mbalimbali ya Neno la Mungu. Awali ya yote nakupa hongera kwa…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima, Nakukaribisha tena tuyatafakari maneno ya uzima. Leo tutatazama kwa ufupi Habari ya watu wawili. Wakwanza ni mtu mmoja anayeitwa Yairo mkuu wa…
kuota unatoka damu ya hedhi inamaanisha nini kibiblia? Yapo mambo mawili; Jambo la kwanza unapaswa ujue asilimia kubwa ya ndoto tunazoziota kila siku, si zote zina tafsiri ya rohoni kukusaidia,…
Kuota upo gerezani kunamaanisha nini? Ndoto ya namna hii inaanguka katika makundi makuu matatu (3) ya watu. Mtu aliyeokoka Mtu aliye vuguvugu (Nusu kaokoka nusu dhambini) Mtu mwenye dhambi Sasa…
Jina la Bwana libarikiwe. Kuna kitu kimoja cha kipekee ambacho Mungu katuumbia sisi wanadamu “nacho ni uponyaji wa asili” Huu uponyaji wa asili upo katika miili yetu na vile vile…
Shalom, karibu tena tujifunze maneno ya uzima ya Mungu wetu YEHOVA. Kuna wakati Mungu anaweza kukaa kimya na kuruhusu mambo Fulani yatokee, ili aone watu wake watamzungumziaje kuhusu jambo hilo,…
Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. kwa link hii >>> https://chat.whatsapp.com/FgA1HWRFZWH4IqqLunFGcs Mistari ya biblia kuhusu ndoa ni ipi? Ndoa ni tendo ambalo…
Historia ya nyimbo KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili~ Tis So Sweet to Trust in Jesus. Wimbo huu uliandikwa na mwanamke mkristo wa kiingereza aliyeitwa, Louisa M. Stead, Mnamo mwaka 1882, Ni wimbo…
Utauwa umewahi kusikia maneno haya mawili yakitamkwa miongoni mwa wakristo. (Shalomu na Maranatha) Lakini pengine huelewi maana yake!. Nini maana ya Shalomu? Shalomu au Shalom ni neno la kiebrania lenye…
SWALI: Nini maana ya hili Neno “watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa” (Hosea 4:6). JIBU: Maarifa yanayozungumziwa hapo sio maarifa ya darasani.. ingawa hata hayo ya shuleni pia ni maarifa…