SWALI: Habari mtumishi, naomba kujifunza habari hii ya kwamba, agano la kale ni kivuli cha agano jipya.., sasa ile habari ya Yusufu ilikua ina ufunuo gani kwa agano jipya? JIBU:…
SWALI: Shalom, naomba msaada wenu kuna sehemu zimenichanganya.. Kutoka 1:15-20 ..wale wazalishaji wa kimisri.. wanatumia uongo na Mungu anawabariki... swali langu .. Je busara ya uongo inaweza tumika na isiwe…
Fukuza tai wote.. Shalom, Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima,. Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Lipo jambo naamini utaongeza katika Habari hii nzuri ya Ibrahimu ambaye tunamwita baba…
Nini maana ya Kuota unatembea juu ya maji ?. Kama tunavyojua stori ya mtu mmoja katika biblia ambaye alirekodiwa kutembea juu ya maji, ni Bwana wetu Yesu Kristo peke yake.…
Fuatilia kisa hii, Binti mmoja akiwa bado mdogo wa miaka 9 aliwauliza wazazi wake, Je! Wazazi wangu Niishi maisha gani ili nifanikiwe, Wazazi wake wakamwambia, mwenetu, wewe huihtaji kwenda shule…
Shalom karibu tujifunze Biblia, kwasababu Neno la Mungu ndio mwanga wa njia zetu na taa iongozayo miguu yetu. Ni wapi mahali sahihi pa kulipa zaka je ni kanisani, au kwa…
Kutubu sio kuomba rehema kwa Mungu!. Jina la Bwana libarikiwe. Ipo tofauti kati ya kutubu na kuomba rehema…Wengi tunaomba rehema lakini hatutubu…Ndugu, Rehema bila Toba ni bure!. Kuomba rehema hakuna…
SWALI: Hujambo ndugu.Nina ulizo kuhusu kabila 12 ya Yakobo (Israeli) katika mwanzo 49 tunaona kabila la DANI lipo, lakini katika ufunuo 7 kabila la Dani halipo badala yake lipo manase.…
SWALI: Mahuru ndio nini? Kama Bwana alivyosema katika Mathayo 17:26, Na ni jambo gani tunajifunza pale? JIBU: Tusome; Mathayo 17:25 “Naye alipoingia nyumbani, Yesu alitangulia kumwuliza, akisema, Waonaje, Simoni? Wafalme…
Ni jambo la kawaida, kuona tabia za watu zinabadilika hususani pale wanapoona wanakaribia kwenda kuangamizwa wote,..Utaona wengi wao wanajigeuza na kujifanya kama vile wao ni kama wale wengine, ili wafanikiwe…