Shalom, karibu tujifunze maandiko katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Leo tutajifunza jambo lingine ambalo kila mmoja wetu anapaswa kujua ni kwa nini tunapaswa tuihubiri injili wakati wote…
Sadaka kubwa na ya kwanza ambayo ina thamani kubwa sana mbele za Mungu ni MAISHA YETU. Tunapoyatoa Maisha yetu kwake kwa kumwamini Mwanawe Yesu Kristo, na kuuacha ulimwengu, na kumuishia…
Isaya 25:8 “Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana Bwana amenena hayo. 9 Katika siku…
Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Biblia inasema..katika Yakobo 5:16 “Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana,…
Kwa lugha ya kiingereza unajulikana kama OAK tree, Kisayansi Kuna ziadi ya jamii 600 za mti huu.. Na unapatikana sehemu mbalimbali duniani sana sana zile za baridi, lakini katika ukanda…
SWALI: Kwanini Mungu alimwambia Musa hakuna mtu awazaye kuuona uso wake akaishi,(Kutoka 33:20) Je! Kwa Mungu kuna mauti, tunapaswa tujihadhari naye? JIBU: Tunajua biblia inatuambia kuwa kwa Mungu ndipo chemchemi…
SWALI: Zile Mbao za mawe Musa alizoambiwa achonge kwa ajili ya zile amri 10 zilikuwaje?..je ni mbao za miti zilichonganyikana na mawe au zilikuwa ni kitu gani? JIBU: Neno mbao…
Kutoka 20:17 “Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani…
Warumi 8:35 “Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?” Mstari huu ukiusoma kwa haraka haraka…
Pakanga ni mmea fulani mchungu uliokuwa unajulikana enzi za kale za biblia, ulikuwa ni mmea unaoota sehemu kame na ulikuwa ni mchungu sana..Hivyo kutokana na sifa ya mmea huo, chochote…