Mathayo 15.1 “Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema, 2 Mbona wanafunzi wako huyahalifu MAPOKEO YA WAZEE, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula. 3 Akajibu, akawaambia, Mbona ninyi…
Kama ukichunguza watu wote walioathiriwa na ulevi wa kupindukia huwa wanaonyesha tabia zinazofanana, moja ya tabia hizo ni kutokujali jambo lolote linaloweza kuja mbele yake, mtu akishalewa hata hajali tena…
Moja ya sikuku saba ambazo Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli wazishike ni SIKUKUU YA VIBANDA..Nyingne sita ni 1) Sikuku ya Pasaka, 2) Sikukuu ya Mikate isiyotiwa chachu, 3) Sikukuu ya…
Udhihirisho wa Bwana Yesu kabla ya kufufuka, ulikuwa ni tofauti na baada ya kufufuka..Kabla ya kusulibiwa Bwana Yesu alikuwa anaonekana kila mahali na sehemu nyingi, hata watu waliotaka kumwona na…
Siku hiyo itakuwa ni siku ya namna gani?, Siku hiyo ya watakatifu wote kunyakuliwa, siku hiyo ambayo itakuwa ni mwisho wa taabu zote kwa wana wa Mungu..Siku ambayo tutakutana na…
Ufunuo 16:15 “ (Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)” Umewahi kujiuliza kwanini Bwana Yesu sehemu nyingi ujio wake anaufananisha…
Tukisoma kitabu cha Mwanzo biblia inatuambia “Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi”, pia tukirudi kusoma tena maandiko biblia inatuambie vile vile “Mungu ni Roho” (Yohana 4:24), Hivyo katika mstari…
Luka 19: 37 “Hata alipokuwa amekaribia matelemko ya mlima wa Mizeituni, kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo lihimidiwe! Karibu tujifunze pamoja Neno la Mungu ambapo leo tutajifunza juu ya KARAMA ILIYO KUU. Kama maandiko yanavyosema katika kitabu cha wakorintho.. 1 Wakorintho…
2Nyakati 16: 9 “Kwa maana macho ya Bwana hukimbia-kimbia duniani mwote, ili ajionyeshe mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika moyo kuelekea kwake”. Tukisoma habari za wafalme katika biblia tunakuja…