DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MAPIGO YA VITASA SABA, NA SIKU YA BWANA.

Hii neema tulionayo leo itafika mwisho, kuna baadhi ya misemo imekuwa ikisemwa kuwa Mungu wa agano la kale leo hii hayupo, kama yupo zile ishara alizokuwa anatenda agano la kale…

MPINGA-KRISTO

Mpinga-Kristo ni nani? Vita kubwa inayoendelea duniani leo ni vita kati ya MUNGU na SHETANI. Mungu anatafuta roho za watu vile vile shetani naye anawinda roho za watu. Hizi roho mbili zimekuwa…

KITABU CHA UZIMA

Kitabu cha uzima ndio kipi? Ufunuo 20:11-15 11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao…

MTU MWENYE KUSITA-SITA KATIKA MAWAZO MAWILI.

Yakobo 1:5-8"  Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.  6 Ila na aombe kwa imani, pasipo shaka yo…

NDOA NA TALAKA:

Ndoa na talaka, kibiblia ni inakuwaje? Mathayo 19:3-8" Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?  4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba…

TUTAWEZAJE KUMZALIA MUNGU MATUNDA?

Kuna hatua za kupitia, ambazo ni lazima kila mkristo azipitie ili aweze kumzalia Bwana matunda, Bwana alizifananisha hatua hizi na ule mfano wa MPANZI; Tukisoma Mathayo 13:2-9 " Wakamkusanyikia makutano…

BASI MUNGU ALIMWADHIMISHA MNO.

Waefeso 1:20 ".......akamweka mkono wake wa kuume katika ulimwengu wa roho; 21 juu sana kuliko UFALME WOTE, na MAMLAKA, na NGUVU, na USULTANI, na KILA JINA LITAJWALO, wala si ulimwenguni humu tu, BALI KATIKA ULE UJAO PIA; 22 AKAVITIA VITU…

DHAMBI YA MAUTI

Dhambi ya mauti, ni ipi katika maandiko? 1Yohana 5:16 "Mtu akimwona ndugu yake anatenda dhambi isiyo ya mauti, ataomba, na Mungu atampa uzima kwa ajili ya hao watendao dhambi isiyo…

ALIYE MKUU KATIKA UFALME WA MBINGUNI.

Kuna tofauti kati ya MAMLAKA(CHEO) na UTAJIRI. Unaweza ukawa tajiri lakini usiwe na mamlaka au cheo na pia unaweza ukawa na CHEO na usiwe tajiri au unaweza ukawa na vyote viwili…

UWEZA WA MUNGU UNAONEKANA WAPI?

Neno la Mungu linasema pale tulipo dhaifu ndipo tulipo na nguvu, ikiwa na maana pale tunapokuwa si kitu ndipo tunapoonekana kuwa kitu mbele za Mungu, Bwana Yesu alisema yeye ajishushaye…