Mstari huu unaeleza uhalisia wa mambo kwa ujumla wake katika maisha ya wanadamu hapa duniani. Tunafahamu kwamba maskini wengi hutumia maombi kupata kitu, huwa wanyenyekevu pale wanapotaka kupewa kitu, kwasababu…
SWALI: Nini maana ya Mithali 25:13 Kama baridi ya theluji wakati wa mavuno; Ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwao wamtumao; Kwa maana huwaburudisha bwana zake nafsi zao. JIBU: Kwa wanaoishi maeneo ambayo…
SWALI: Je! ni sahihi kwa mkristo kufanya biashara za kifedha mitandaoni kama vile Forex, na crypto-currency mfano wa bitcons? JIBU: Ni vema kufahamu biashara za kifedha mitandaoni kama forex ni…
Hesabu 16:20 Kisha Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, 21 Jitengeni ninyi mkaondoke kati ya mkutano huu, ili nipate kuwaangamiza mara moja. 22 Nao WAKAPOMOKA kifudifudi, wakasema, Ee…
> Kuna vitabu vingapi katika Agano Jipya na Agano la Kale?, > Kuna sura/milango mingapi katika kila mgawanyo? > Na watu gani waliotajwa sana katika biblia zaidi ya wengine wote?…
Ifutayo ni mistari kadhaa ya biblia ihusuyo shukrani/ kushukuru. Zaburi 9:1 “Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu”. Zaburi 18:49 “Basi, Bwana, nitakushukuru kati ya…
Maandiko ya faraja kwa wafiwa/ Neno la kufariji wafiwa (waliopatwa na msiba). Ikiwa Mtu kafariki katika Kristo, basi lipo tumaini la kumwona tena..lakini kwa namna moja au nyingine, wafiwa watakuwa…
(Masomo maamulu kwa watumishi wa Mungu). Je wewe ni mtumishi wa MUNGU?..Basi fuatilia mfululizo wa masomo haya katika tovuti yetu hii (www.wingulamashahidi.org). Kama mtumishi wa Mungu kuna Anwani au nembo…
Swali: Toba maana yake nini?.. na je ina umuhimu gani kwetu? Jibu: Neno “Toba” liinatokana na neno “kutubu”. Mtu anayetubu maana yake kafanya “TOBA”. Na kutubu maana yake ni “kugeuka,…
Swali: Je wakristo tunaruhusiwa kukopa benki au kutoka kwa watu?..kama ni ndio, kwanini maandiko yaseme mtakopesha wala hamtakopa? (Kumbukumbu 15:6). Jibu: Turejee.. Kumbukumbu 15:6 “Kwani Bwana, Mungu wako, atakubarikia, kama…