Tofauti na Kalenda ya Kirumi ambayo ndiyo tunayoitumia sasa yenye miezi 12, Kalenda ya kiyahudi yenyewe inakuwa na miezi 13 kwa mara saba kila baada ya miaka 19. (Yaani katika…
Yesu alipokuwa nyumbani kwa Yule Simoni mkoma, alitokea mwanamke mmoja na kufanya jambo ambalo lilizua malalamika mengi sana kwa wale waliokuwa pale, kama tunavyoifahamu habari, mwanamke Yule alikuwa na kibweta…
1.) DUNIANI (miaka 33 na nusu) 2) KUZIMU (Siku tatu) 3) MBINGUNI (Miaka elfu mbili na …) 4) DUNIANI TENA (Miaka 1000) Ni vema tukaifahamu hii migawanyo kwa kina ili…
Swali: Kukaramkia ni nini? Jibu: Tusome, 2Wakorintho 7:2 “Tupeni nafasi mioyoni mwenu. Hatukumdhulumu mtu ye yote, wala kumharibu mtu, wala kumkaramkia mtu. 3 Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu, lihimidiwe.. karibu tujifunze biblia.. Neno la Mungu linasema.. Mithali 22:6 “Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee” Faida ya kumlea…
2Timotheo 1:6 “Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu”. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo. Neno la Mungu linatufundisha kuzichochea KARAMA tulizopewa,..…
Mungu kamwe hajatuweka hapa duniani tutafute “dunia njema”, Dunia ambayo tutaishi mbali na hatari, mbali na majanga, mbali ni watu wabaya au waovu, hapana, hili ni jambo ambalo kila mtu…
karismatiki maana yake nini? Karismatiki ni neno la kiyunani lenye maana ya “Zawadi za neema”.. Au kwa lugha nyepesi zaidi, tunaweza kusema, “vipawa vya neema”. Ambavyo hivyo hutolewa na Roho…
Jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Sarepta ulikuwa ni mji mdogo uliokuwepo nje kidogo mwa nchi ya Israeli, katika Taifa la Lebanoni. Katika…
Makanda ni neno lingine la KAPU. Ambalo hutumika kuhifadhi au kubebea vitu mbalimbali hususani vyakula au nafaka. Katika biblia Neno hilo utakutana nalo katika vifungu kadha wa kadha, mfano wapo…