Je! Ni thawabu gani inayozungumziwa hapo?. Jibu: Ili tuelewe vizuri, labda tuanzie kusoma kuanzia mstari wa 40 Mathayo 10:40 “Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. 41…
Kuna majira yakupasa uisikie sauti ya Mungu, kuliko hasara utakayoingia, ili kuiponya nafsi yako. Kuna mfalme mmoja wa Yuda anaitwa Amazia, Huyu mfalme siku moja alijikuta anaingia katika vita na…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu, Yesu Kristo libarikiwe.. Karibu katika kujifunza Neno la Mungu wetu, ambalo ni Taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa Njia yetu. (Zab. 119:105). Kuna…
SWALI: Je Mkristo kutembea na walinzi (Bodyguards), katika huduma ni sawa? Kama sio mbona Bwana Yesu alitembea na mitume wake? JIBU: Tufahamu kuwa mitume hawakuwa walinzi wa Bwana Yesu, Bali…
Talanta ni nini katika biblia. Katika agano la kale Talanta kilikuwa ni kipimo cha uzito cha juu zaidi ya vyote (kilitumiwa hususani katika kupima madini ya dhahabu na fedha)..Talanta moja…
Hebu tusome Habari ifuatayo kwa utaratibu halafu tutafakari Pamoja… Ufunuo 3:15 “Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. 16 Basi,…
Babewatoto ni jina lingine la mapepo yanayotembea usiku (yenye mfano wa ndege wa angani). Hawa wametajwa mara moja tu katika biblia.. Isaya 34:14 “Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu,…
SWALI: Nini maana ya ugonjwa wa kufisha? Yeremia 17:9 Yeremia 17:9 “Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua”? Kufisha; maana yake ni kusababisha kitu…
Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda tisa (9), ya…
Yeremia 48:10 “Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Bwana kwa ulegevu; NA ALAANIWE AUZUIAYE UPANGA WAKE USIMWAGE DAMU”. Je kufuatia mstari huo, Mungu anahimiza mauaji? Jibu: Awali ya yote ni…