Jibu: Ndio ni jambo la kimaandiko kabisa kupiga kura kuchagua viongozi wa kanisa!. Lakini ni lazima kuzingatia wanaopiga kura na anayepigiwa kura. Wanaopaswa kupiga kura kuchagua viongozi ni lazima wawe…
Je ni tunaruhusiwa kunywa dawa wakati wa kufunga, au kuonja chakula wakati wa kupika kwaajili ya wengine? Jibu: Unapofunga unakuwa unajizuia kula chakula au kunywa chochote, kwa lengo Fulani la…
Nifanyeje niwe mwombaji mzuri, wa masafa marefu?
Midiani kwasasa ni eneo la Mashariki mwa nchi ya Saudi-Arabia, Kusini mwa nchi ya Yordani. Asili ya waMidiani ni Ibrahimu. Maandiko yanaonyesha baada ya Sara kufa, Ibrahimu alimwoa mwanamke mwingine…
Jibu: Tusome, Marko 4:35 “Siku ile kulipokuwa jioni, akawaambia, Na tuvuke mpaka ng'ambo. 36 Wakauacha mkutano, wakamchukua vile vile alivyo katika chombo. Na vyombo vingine vilikuwako pamoja naye 37 Ikatokea…
Swali: Je Ni sahihi kimaandiko kwa mwimbaji wa nyimbo za injili kufanya collaboration na wasanii wa kidunia?.. Kabla ya kujibu swali hili, hebu tujiulize kwanza swali lifuatalo!. Je ni sahihi…
SWALI: Je? Daudi na Yonathani walikua wanashiriki mapenzi ya jinsia moja? Kufuatana na vifungu hivi; 1 Samweli 20:30 Basi hasira yake Sauli ikawaka juu ya Yonathani, akamwambia, Wewe, mwana wa…
Tusome, Yohana 8:56 “Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi”. Jibu: Siku aliyoiiona Ibrahimu sio siku Kristo anamwaga damu yake pale Kalvari, kwaajili ya ondoleo…
Swali: Tunasoma katika Warumi 11:4, Mungu anasema kuwa “nimejisazia” lakini katika Wafalme tunasoma Mungu anasema “nitajisazia” kana kwamba ni kitendo kinachokuja mbeleni.. Je hapo mwandishi gani yupo sahihi? Tusome: Warumi…