Ijumaa kuu ni ijumaa ya mwisho kabisa ya Bwana wetu Yesu Kristo kuwepo hapa duniani, ni siku ile ambayo alipitia mateso mengi, na kusulibiwa, na kufa na kisha kuzikwa. Siku…
Swali: Katika Kumbukumbu 28:53, tunaona Mungu anasema watu watakula nyama za wana wao, na uzao wa tumbo lao, je alikuwa anamaanisha nini kusema hivyo?. Jibu: Tusome, Kumbukumbu 28:53 “Nawe utakula…
Na je tunaruhusiwa kuisheherekea? Jibu: Pasaka ni sikukuu ya kiyahudi, ambayo ilianza kuadhimishwa kipindi wana wa Israeli wanatoka nchi ya Misri, wakati ambao Mungu aliwaambia wapake damu ya mwanakondoo katika…
SWALI: Naomba kufahamu Zaburi 102:6 inamaana gani? Mwandishi anaposema.. Zaburi 102:6 Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni. Mwari ni aina ya ndege ambao, wana…
Tofauti na “Kima” mnyama ambaye anajulikana (jamii ya nyani), ukirudi katika biblia Neno hili lina maana nyingine pia. Kima maana yake ni “thamani ya kitu katika pesa”. Kwa mfano tukisema…
Ni eneo la pango ambalo lilikuwa karibu na mji wa Israeli unaoitwa Hebroni, ambalo Ibrahimu alilinunua kwa mtu mmoja aliyeitwa Efroni, kwa ajili ya maziko ya mke wake Sara. Mwanzo…
Bwana Yesu alisema maneno haya katika Mathayo 7:21-23. Mathayo 7:21 “Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; BALI NI YEYE AFANYAYE MAPENZI YA BABA YANGU ALIYE…
Jibu: Uwezo na Uweza ni kitu kimoja.. tofauti ni kwamba kimoja kinatumika kwa Mungu na kingine kwa wanadamu. Wanadamu na wanyama na shetani na malaika na viumbe vingine vyote vinao…
Kuna njia kuu sita(6) Ni vema ukazifahamu hizi njia Mungu anazozungumza na watu, ili usitegemee tu njia moja uifahamuyo wewe, matokeo yake ukakosa shabaha ya kuzisikia sauti za Mungu kila…