Na pombe na sigara si ni vya Kaisari (yaani serikali imevihalalisha), hivyo si ni sawa kuvitumia..? Jibu: Kumekuwa na tafsiri nyingi juu ya huo mstari “Vya Kaisari mpeni Kaisari na…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Leo tutajifunza juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine, Je Mgogoro huu umetabiriwa katika biblia? Awali ya yote, kabla hatujaendelea…
Jibu: Hapana!, watu wenye ulemavu wa akili kikweli kweli, Bwana akirudi hawataenda!, watabaki kukumbana na ghadhabu ya Mungu.!. LAKINI SISI TUNAVYOMTAFSIRI MTU MWENYE ULEMAVU WA AKILI, NI TOFAUTI NA MUNGU…
Bwana Yesu asifiwe. Ulishawahi kulitafakari kwa ukaribu lile tukio, ambalo Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura nyingine, walipokuwa baharini wanavua?. Utaona muda wote aliokuwa anazungumza nao wasimtambue Petro alikuwa…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele. Utajiuliza, ni kwanini wengi wa mitume wa Bwana Yesu walikuwa ni wavuvi? Tukiachilia mbali…
Tatizo la visigino kuuma ni ishara ya nini kibiblia?..Au visigino kuwaka moto?. 1) Visigino kuuma. Kama unafanya shughuli yenye kuhusisha miguu, kwamfano kulima au kutembea umbali mrefu, au michezo..basi ni…
Moja ya mambo ambayo yanadhoofisha karama, au yanamchelewesha mtu kuifanya kazi ya Mungu, ni tabia ya kusubiria Mungu amwambie jambo Fulani, au Mungu amwoneshe jambo kwanza. Watu wengi sana leo…
JIBU: Hakuna mahali popote katika biblia inamtaja Mikaeli kuwa ndiye Bwana Yesu. Kinyume chake, maandiko yanamtofautisha Yesu na Malaika hata kwa asili aliyoitwaa, Biblia inasema. Waebrania 2:16 “Maana ni hakika,…
Jina la Bwana, Yesu libarikiwe. Kuna tofauti ya Marhamu na Manukato, kujua tofauti yake fungua hapa >> Marhamu na manukato ni nini?. Lakini kwaufupi ni kwamba Marhamu ni pafyumu. Sasa…
Marhamu ni nini? Na Manukato ni nini? 1) Marhamu ni nini? Marhamu kwa lugha ya kiingereza ni “perfume”..kwa lugha ya kiswahili iliyozoeleka ni “pafyumu”. Pafyumu inatengenezwa kutoka katika mimea mbali…