Unaweza ukajiuliza Je shetani anaweza kuwazuia watu wasihubiri injili? Jibu ni ndio Tusome, 1 Wathesalonike 2:17 “Lakini ndugu, tukiwa tumefarakana nanyi kwa kitambo, kwa uso si kwa moyo, tulizidi kutamani…
Akiki ni aina ya madini inayokaribia kufanana kimwonekano na madini ya Marijani (Rubi). Kwa lugha ya kiingereza madini ya Akiki yanajulikana kama “Sardius”. (Tazama picha juu). Na madini ya Yaspa…
Zumaridi ni aina ya madini yenye rangi ya kijani, Madini haya kimwonekano ni mazuri sana, Matumizi ya madini haya ni kama yale ya Marijani (Rubi) pamoja na Yakuti (Sapphire). Yote…
Yakuti ni aina ya madini inayokaribiana kufanana sana na madini ya Rubi (yaani Marijani). Madini ya Yakuti kwa lugha ya kiingereza ndio yanajulikana kama SAPPHIRE. Kazi yake ni kutengenezea vito…
Kuhusuru ni kuzinga kitu, pande zote kisiwe na upenyo wa kutoroka au kupita. Mbinu hii yalitumia majeshi ya zamani katika vita..kabla ya kwenda kupigana na adui zao waliwazingira kwanza kuhakikisha…
Jibu: Tusome, Maandiko yanasema.. Mithali 13:12 “Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima”. Ni kawaida siku zote kuugua pale unapokuwa katika hali ya…
Kuna baadhi ya watu Mungu anawapanda katika kanisa, kwa namna ya kitofauti na kipekee sana.. Na pengine wenyewe hawalijui hilo..hivyo wanaishi maisha ya kimaficho ficho tu..au ya juu juu tu,…
Naomba kujua kama Maji ya Zamzam yapo kibiblia na kama tunaweza kuyanunua na kutumia. Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu libarikiwe. Maji ya Zamzam ni maji yanayoaminika kutoka katika kisima…
There is a place tha Lord said these words... Revelation 16:15 "Behold, I come as a thief. Blessed is he that watcheth, and keepeth his garments, lest he walk naked,…
Maandiko yanasema, Neno la Mungu ni kama Upanga unaokata kuwili, (yaani una makali pande mbili,mfano wa sime). Na lina uwezo wa kuzigawanya Nafsi na Roho. Mtu aliyejikana Nafsi yake, na…