Shalom! Ni vizuri kulisoma Neno la Mungu kwa makini, huku tukimshirikisha Roho Mtakatifu, vinginevyo kwa kupitia biblia hii hii, tunaweza hata kumhalalisha shetani kuwa ni Mungu. Wako watu wanaotumia biblia…
Wewe kama mtumishi wa Mungu, je! unayafanya mapenzi ya Bwana Yesu?. Ni muhimu kuyafahamu mapenzi ya Bwana Yesu na kuyatenda hayo ili umpendeze Mungu. Sasa Mapenzi ya Bwana Yesu ni…
Ni kipi kinakupa ujasiri wa kuishi ukristo ya juu juu tu ndugu ? Bwana atusaidie tujue majira tunayoishi.. Ulishawahi kutafakari kwa makini kwanini Bwana alifananisha kuja kwake na umeme? Kama…
Zekaria 4:6 “Akajibu akaniambia, akisema, Hili ndilo neno la Bwana kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu, asema Bwana wa majeshi”. Shalom.…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Umewahi kujiuliza kwanini Yesu anajulikana kama Adamu wa Pili au Adamu wa mwisho? Leo tutajifunza ni kwanini yeye anajulikana hivyo, na kwa kujua…
Nakusalimu katika jina lipitalo majina yote la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima maadamu bado tupo hai. Maandiko yanatuambia ; Yohana 19:25 “Na penye msalaba wake Yesu…
JIBU: Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya neno “kuabudu”. Leo hii ukizungumzia neno kuabudu, haraka haraka katika vichwa vya wengi, italenga katika “kuimba nyimbo za kuabudu”. Lakini kiuhalisia kumuabudu…
Kibiblia Naivera imemaanisha vitu viwili, cha kwanza, ni aina ya vazi maalumu lililotengenezwa kwa mfano wa Aproni(yale mavazi ya wapishi) kwa ajili ya ibada za kikuhani, au kwa ajili ya…
Mithali 17: 1 Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi. JIBU: Mego ni neno linalotokana na kitenzi “mega”,(kumega) kitu kilichomegwa, ni kama kimenyofolewa…
Shalom jina Kuu la Mwokozi wa Ulimwengu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu lililo hai. Katika biblia tunasoma kisa cha Nabii Mmoja aliyetumwa na Mungu kwa…